GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Mkuu naomba niulize swali, fedha kwa ajili ya uchaguzi kama huu wa marudio huwa zipo tuu huko NEC, maana mbunge kujiuzuru ni unexpected event, je wanajuaje sasa kwamba tutenge na fedha za by election,Demokrasia ni gharama mkuu na fedha za uchaguzi zina bajeti yake.
Mkuu wabunge Wa viti maalum hupatikana kutokana na kura za urais uliopita kigezo kikuu sii idadi ya wabunge laaWana jf naomba kujyzwa kuhusu wabunge wa viti maalum.
Ninavyoelewa ni kwamba jinsi unavyopata wabunge wengi katika majimbo ndivyo pia unapata wabunge wengi wa viti maalum
Sasa endapo chama cha siasa kinapoteza wabunge wengi wa kuchaguluwa majimbo hivyo kukosa sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum sheria inasenaje?
Nao pia wanapungwa na kuongezewa wale Walloongeza wabunge wa majimbo?
Kwa hii comment akipita hapa jiwe anakuwa karatasi... ndugu umeandika kinyongeHawa wanasiasa wangeacha kwanza tuongezewe mishahara wenzao kwanza daah, maisha yetu watumishi wa umma ni magumu mno
Ameenda kuungana na fisadi ili waendeleze ufisadi. Ukimuuliza leo kuhusu ufisdi wa mkurugenzi, atakuambia mlimnukuu vibayaHuyu si ndiye rais alisema mkurugenzi awaoe dada zake baada kumchongea kuwa ni fisadi?
Ukiondoa sisi watu wa jukwaa la Siasa Kuna Mtu anakujua mwengine humu, wewe zaidi ya nyuzi za Malalamiko Kuna kingine ZaidiKamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchum
Mkuu tunadharirika kitaa ile heshima tuliokuwa nayo zamani kama watumishi wa umma haipo tena, tunaandamwa na madeni, afu viongozi wetu hataa hawajali, increment tu kuongeza imekuwa ni ngumu yaan, wengine hapa life yetu ni Mungu tuu pekee ndo anajua kwakweli.Kwa hii comment akipita hapa jiwe anakuwa karatasi... ndugu umeandika kinyonge
Kumbe ndo huyo punga??Nilimsikia siku ile kwenye mkutano Wa Magu akisema msinizomee na Mimi naweza kuwa mwanaccm
Mtu anashauri nchi wahisani wasitishe mikopo...ili miradi ya maendeleo isikamilike...unadhani huyo hazuii kupatikana 'maziwa na asali' nchini? Tena anaenda mchana kweupe na kujiapiza kuwa hataunga mkono juhudi za serikali, unategemea nini?Kwamba kutokuunga mkono ndio kunazuia hayo?
Wakurya siyo roboti wala nyumbu...wakurya ni binadamu wenye utashi tena utashi wa kutafakari na kuchangua kile kinachowafaa na kukisimamia.Na huyu nae kawaibisha wakurya hana msimamo?
Anaongea kama kawekewa gunzi mku*dunNa huyu nae kawaibisha wakurya hana msimamo? Au mtasemaje?View attachment 879786
SarcasticallyMkuu mbona unashangaa? Magufuli ni rais mzuri mno,hana kasoro yoyote ile,na Tanzania haitapata rais bora kama Magufuli,tangu aingie madarakani uchumi wa Tanzania umepaa kwa 45%,ajira zimeongezeka kwa 38%, Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa vyombo vya Habari umekua,sasa kwa nini wapinzani wasimuunge mkono?
Napendekeza Magufuli atawale milele.
CCM HOYEEEEEEEE......!!!