MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Asante kwa maoni murua. Nimefarijika sana. mimi hili ndilo limekuwa swali langu tokea projekti ya 'kuunga mkono" ilipoanza.
JPM anataka kuua upinzani lakini anasahau kuwa kama usingekuwa upinzani imara tulipokuwa tumefikia mwaka 2015, hata yeye hakuna ambaye angemkumbuka kumleta kugombea!! Kwa hivyo akiishamaliza upinzani, atakauwa ni yeye pekee anayeamua nani awe mrithi wake!!
 
Hapo kwny vita dhidi ya ufisadi na rushwa na Bashite yupo au??
 
Intelligence ya chadema imefubaa sana watu kama hawa ni wakuwapiga chini kabla ya wao kuamia
 
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Matter exists in three states: solid, liquid and gaseous. The solid state is the most stable state while the gaseous state is the most unstable state. By all accounts, CCM is in the solid state now while CHADEMA has never been there. Although CHADEMA was solidifying fast in the period from 2007 through 2014, since then she has been evaporating at an alarming rate towards pure gaseous form. Big lesson here is that political enterprising never works!!
 
https://www.facebook.com/
 
Hiv hizo pesa za marudio ya uchaguzi haziwez kujenga hata zahanati moja? halaf na hawa ccm wawe waelewa hawawatendei haki wanachama wake walowez unakuta jitu na tamaa zake za madaraka linahamia ccm halaf likifika huko kamat kuu inalipitisha tena likagombee wakat kuna wanachama wengine huko wanafaa kugombea ingekuwa mtu kahamia halafu hapewi tena nafas ya kugombea ungeona watu kama wasingerudi walikotoka wajinga hao.

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 

The only way of ensuring that those members of parliament from the opposition parties who opt to relinquish their parliamentary seats in support of the President, the President Dr Magufuli should suspend (effective the Serengeti ex MP)the habit being exercised by CCM of returning the same as contestants of the would be parliamentary election or counselor(Madiwani) and put forward members from the ruling party CCM. This will be a proof that they are not bought, they are not favored more than the part die hards - cohorts(wafia chama na wavumilivu katika chama - CCM).Who ever steps down from any political party should be put in view(KIV) keep in view for consideration in 2020 elections and not in the by elections. Tanzanians truly appreciate what the President is doing but MPs resigning and the returning of the same names for re-election is not proper, they are actually not supporting the President but are only doing that for their stomachs and not for the interest of the common man, the voter. After all CCM have the majority to pass any legislation mandatory for the betterment of the nation Tanzania. This is my advice and I believe CCM National chairman Dr Magufuli will consider my suggestion and implement it. It seems some senior party officials have got no guts of facing their chairman! Period.
 
Magufuli kama alivyojiita mwenyewe kweli ni kichaa amefikia anateka watu wamuunge mkono anaingiza umafia kwenye muhimili.mwingine wa uongozi anachokitafuta kwenye nchi hii atakipata
kamteka nani?
amesema akiwa na akili timamu..anahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…