Ni vigumu kuwabaini kwa madalali wa siasa toka CCM hufanya huo ununuzi kwa njia za siri na huwalipa cash ili wapate 10% zao mapema, Le mutuz ni mmojawapo wa wana kamati ya wanunuzi muulizeni huko club Bar atawapa siri zotekitengo cha chadema kimelala? Wasiweze kulibaini mapema akafukuzwa
Sasa mbona tunashindwa kukarabati makao yetu makuu pale ufipa?Haitishi, nchi yetu ni tajiri na uchaguzi gharama yake sio kubwa kwa sisi donor country.
Gharama za kuwa kipofu ni kubwa!Walahi
Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?
Salalee!
Kwa sasa wanaunga mkono RPC wa Tarime kuwapiga wananchi kisha DC akaenda kufunga mgodi huku MZUNGU aliyesababisha mgpgoro akishinda ofisini kwa RPC kupiga nae story kisha kupanga jinsi ya kuwabambikia kesi wale wananchi ambao MZUNGU anaona ni kikwazo kwake wakati akiwa anapora madini ya wananchi wanyonge na masikiniR
Tatizo kinachoungwa mkono hakionekani.
Vina uhusiano gani na wabunge kununuliwa na CCM? Kwani ufipa kuna nini? Kungekuwa kubaya sidhani kama CCM wangehanhaika na chademaSasa mbona tunashindwa kukarabati makao yetu makuu pale ufipa?
Pesa inayotumika kudhoofisha upinzani ni pesa nyingi sana iHizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Kujieleza kitu gani?Haikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
Yana mwishoHuyu jamaa alidanganya mbele ya Rais akimtuhumimu mkurugenzi wa wilaya. Jamaa wamemwendea na kumwambia achague moja, kwenda jela au kuhamia ccm?
Keep on waiting"Dying without bitterness"
Sitoshangaa kusikia Mbowe amejitoa CDM kuunga juhudi za Rais.
Sababu?? Au ni mawazo yako?Kwa mtu makini na mwenye busara hawezi kubakia CHADEMA .
Nawe uwa huna uamuzi, hutafari bali hufata mkumbo?Kwa mtu makini na mwenye busara hawezi kubakia CHADEMA .
Lete risiti ya hayo manunuzi tuone.Vina uhusiano gani na wabunge kununuliwa na CCM...
Walahi ni juhudi za Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao walahi ndugu yanguWalahi
Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?
Salalee!