Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya.
Kawaida kila taasisi inahitaji kufikia malengo ya juu zaidi ya mwengine ila kuna jambo halipendezwi na hizi taasisi nazo ni ushindani, ikiwa kuna ushindani kuna mtu atahitaji kuwa dominant wa milele hivyo watatumia mbinu mbadala ya kuuwa mfumo wa mshindani wao kwa gharama yeyote.
Vita na ghasia ni mbinu mkakati sio matokeo ya mfumo kushindwa kufanya kazi,hizi ghasia hutumiwa ila kuharibu shughuli fulani zisiendelee ili kudumaza na kuuwa ushindani,Vita vyote tunavyovishuhudia ndiyo matokeo ya kimkakati yenye kuanzisha Program fulani.
Kama demokrasia ni uhuru wa kuchagua,haki za binadamu inakuwaje dola za ulaya wanaingilia mamlaka za ndani za nchi?wakati nchi ni mkusanyiko wa tamaduni.
Je,ina maanisha watu hatuwezi kujiongoza?
Wao ndiyo wenye mamlaka au akili ya kujiongoza?