Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

 

Attachments

  • 6411686-f8395ae6769aaed011115d8d0214cf51.mp4
    18.5 MB
Kuna nini jamani? What's going on? Mbona hivi?

Cha kwanza ni kujua STRESS ni tatizo linaloweza kuambukizwa/empathetic stress kutoka mtu mmoja kwenda mwingine. Lakini pia mwenye stress huweza kuhamisha stress zake kwa kumalizana na kile kilicho dhaiifu kwake/Displacement. Hii hutokea pale Baba anampiga mama, mama anapiga watoto, watoto watapiga mbwa, mbwa anaenda kwa paka, paka atatafutana na panya mwisho ni nguo kabatini zinashughulikiwa.

Kama taifa tumetengeneza stress za kutosha kwa mfumo wa maisha tuliopitia na maisha tunayoenda nayo. Tusipowahusisha wataalamu wa saikolojia na kubadilika, haya mambo yataendelea kuwepo na mengine yapo chini ya kapeti kiasi kwamba unaweza kumuogopa binadamu mwenzako. Watu tuna matatizo ya afya akili tunazunguka nayo kimyakimya. Tutakuja kushuhudia kuijtoa uhai na kutoana uhai kusikokuwa na sababu za msingi. Ukiguswa tu unalipuka kama pepsi iliyotikiswa kwa muda mrefu.............. ...................... (mtu anakanyagwa au kuguswa mguu kwenye daladala, anaongea njia nzima kilometa 30).
 
Ushamba,ujinga,upuz
Itakuwa watu dizaini hizi
Wamejulia mapenzi ukubwani,hawajawahi umizwa kihisia

Ova
Kabisa mkuu,, mwanamke ni wa kupuuza na kuangalia maisha yako,,
There are so many fish waiting for someone to fish them at sea...

Kwann upigane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…