AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Vyote kwaa pamoja inaweza ikawa kisa kala pesa zake then anamwambia tuachane it's over kuanzia leo mimi na wewe basi sitaki tena unikome futa namba yangu na usinijue kuanzia leo unajiona mwanaume upo peke yako kwenda kule..Amemuua kisa wivu wa mapenzi au amemuua kisa usaliti?
Mm nashika hiyo bastola na nampiga ya kichwa.Usishike Bastora Mwanaume
Kwani ngapi ngapi?Msimu wa mauaji ya wapenzi😁
Au hayajakukuta?Nina wivu ila kuna watu sijawafikia kubababake
Siku hizi hawapigi, wanaua.Bado wanaume wanapiga mwanamke?
Aisee!!
Tafuta avatar ya BICHWA KOMWE, a k a mgambo wa jijiNaomba picha ya mwanamke mwenye "muonekano wa kawaida",
Na nyie bado hamjafa, hadi wafe 12 kwa mwezi akili ndio zitawarudia.🤣🤣🤣🤣🤣Bado hamjasema
Ishakua murder case tayari na hukumu haitolalia kwenye Manslaughter wewe sio Lulu kwamba uliua bila kukusudia sahauMm nashika hiyo bastola na nampiga ya kichwa.
AfadhaliUkiendelea kushangaa iyo taarifa kuna hii ya Kenya dogo kamuua mpenzi wake alafu kasepa na kichwa
Sio poa kabisa yote huanza na maneno makali na ya kuudhi, kudharau na kutweza utu wa mtu pasinakujali gharama alizotumia kuanzia gharama ya muda na nyinginezo ikiwemo fedha alizowekeza kisha mradi unafia njiani na maneno ya kejeli kashfa na kuudhi ..wewe Mwanaume gani Mwanaume utakua wewe una uanamume gani wewe eeh? Achana na mimi... nimesema niache nenda kwaa hao malaya wakoInasikitisha sana!! Udangaji ,umalaya kwenye ndoa/uhusiano ndiyo chanzo ,afya ya akili ni kubwa ukimixx by yas mtu lazima akuPyupyu au nchakali ihusike.
Kweli maneno ya shombo nayo yana trigger hasira.Sio poa kabisa yote huanza na maneno makali na ya kuudhi, kudharau na kutweza utu wa mtu pasinakujali gharama alizotumia kuanzia gharama ya muda na nyinginezo ikiwemo fedha alizowekeza kisha mradi unafia njiani na maneno ya kejeli kashfa na kuudhi ..wewe Mwanaume gani Mwanaume utakua wewe una uanamume gani wewe eeh? Achana na mimi... nimesema niache nenda kwaa hao malaya wako
Usishike Bastora Mwanaume
Wewe mwanamke kuwa makini.Mi ni mwanaume dada, nilipaswa nikuulize wewe, eti nawe unakula vya me wako? Be care watu wana matatizo ya akili, uta tunguliwa