MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Walimu hamkomi tu. Mwanafunzi kuchapwa viboko tu lazima mkuu wa shule atoe kibali. Sasa wanakwenda kupoteza muda mahabusu au kifungoni kabisaWaalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita shuleni hapo.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) iliyotolewa leo Agosti 21, 2026 imeeleza kuwa mnamo Agosti 19, 2026 majira ya saa 05:00 asubuhi, wakati mwanafunzi huyo akitekeleza adhabu na wenzake ambao walikua na ufaulu wa chini kwenye mitihani ya kujipima, alichapwa viboko na waalimu hao na kusababisha kuishiwa nguvu hali iliyopelekea kupelekwa hospitali ya wilaya ya Bunda.
Taarifa hiyo imebainisha kuwa wakati mwanafunzi huyo akiwa anaendelea na matibabu alifariki dunia na mwili wake kuhifadhiwa hospitalini hapo huku sababu za kifo chake zikiendelea kuchunguzwa na zitatolewa mara baada ya madaktari kukamilisha uchunguzi huo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara ametoa wito kwa wananchi mkoani humo kuwa watulivu kwani Jeshi la Polisi likishirikiana na wataalamu wengine wa taasisi za kiuchunguzi ili kubaini chanzo halisi cha kifo cha mwanafunzi huyo.
Private candidate?Ni jambo geni kwako? Mie form six nimemaliza nikiwa na miaka 32.
Hao mbona safari yao ishaishia hapo, wanaenda kuozea jela,Wabinywe pumbu haswaa. Tumechoka ujinga.
Kama una stress za vikoba acha kazi, usimalizie hasira zako kwa watoto.
Shenzi sana nimechafukwa haswa mpaka nimekunja ndita.
I WISH I COULD BE IGP.
Cc: Dr. Mariposa binti kiziwi Kalpana
School candidate kabisa!!Private candidate?
Uzushi! Kuna age limit ya admission kwa kila level - pre-primary, primary, o-level, a-level. Out of that, sit as private candidate.School candidate kabisa!!
Inawezekana mkuu usilete ubishi, private school hawana masharti hayo kigezo cha kujiunga form five ni uwe na cheti cha form four hata kama hiyo form four ulimalimaliza miaka 15 iliyopita.Uzushi! Kuna age limit ya admission kwa kila level - pre-primary, primary, o-level, a-level. Out of that, sit as private candidate.
How comes kibabu cha 32 uliruhusiwa kuchangamana na watoto wadogo? Walioruhusu have case to answer!
Sio jambo geni kiivo lakini huo umri ni mkubwa. Mi nlimaliza degree nkiwa na 23. Miaka hii shule wanaanza mapema kidogo.Ni jambo geni kwako? Mie form six nimemaliza nikiwa na miaka 32.
NAKUMbUKA 1992 nilishapigana na mwalimu wille, girdasaida na shayo Arusha sec kwa dk 42 mpaka na wao walikaa chini tukaanza kuulizana utarudia kunipiga na wao wananiuliza utarudia kugombana na walimu tuliulizana kama mara 5 wakaniachia nenda zako na ndo mwisho wa fimbo kuanzia form five mpaka namaliza six , siku ya graduation form six nikapewa zawadi ya mwanafundi mwenye nidhamu na mtiifu ahaaaa kumbe waliona aibu sana maaana story zilisambaaa mno hadi shule za bondeni, arusha day, nilikuwa naitwa ngumi jiwe na nilikuwa na bahati nina mwili kubwa na pumzi sanaEeh viboko ndiyo mbinu ya kufaulu?ila madogo wa siku hizi jau sanaa,form 6 unapigwa mpaka unaishiwa nguvu?Enzi zetu hapo ngumi zishalika sanaa.
umenena kweliHao walimu hawakutumia akili tu
Kijana ana miaka 23 halafu ufaulu hafifu huenda tayari ana majukumu ya mpenzi au watoto hata wazazi.
Kimsingi huo umri kwa miaka hii tayari ameshamaliza chuo yupo home akiwa na mishe zake..
Walimu punguzeni wenge mtaishia jela na wake zenu kutafunwa kavukavu.
Ni jambo geni kwako? Mie form six nimemaliza nikiwa na miaka 32.