Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Nilifutaga namba za mtu. La haulaaa siku isiyo na jina nina shida… yuko ofisi flani ya umma.. watu tunaingia sana.
Nilikoma….
Mh mimi nikiua ata kufuta ya ndugu yangu na futa na akipiga namuuliza nani sijakujua
 
Back
Top Bottom