Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

about 6ft, 53Kg....mpango wangu, kamwe sitakiwi kuvuka kilo 58...
 
Bmi ikianzia 20 hadi 22 ni nzuri kwa afya. Unaweza kuta mtu ni 6.2tall halafu ana 40 au 50 kg hata upepo ukija anapepesuka.

Au mwingine ana 4.2ft tall halafu ana 89kg hawa ndio tunaitaga matukunyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…