Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Nipo chini ya mti hapa nagonga pepsi mda sio mrefu hawa polisi ntawafundisha Kishindo cha wakoma😁😁😁
🀣🀣🀣🀣🀣 useme mapema tukufuate kituo kipi?
 
Nakumbuka kuna dada mmoja nilikuwa nafanya naye kazi,yeye kila mkitoka mmeenda kiwanja,akilewa tu anaanza kulia kwa uchungu sana,sema nilikuwa simuelewi kwanini analia lakini,ni mzuri sana yule dada sana tena sana,sijui shida nini
 
Pole sana ndugu yangu.
 
Itakuwa ni PTSD + pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…