Hongera sana mkuuJana gentleman,
alitembelea miongoni mwa mashamba yangu hapo nyumbani kijijini alikua akinipa feedback ya hali halisi ya mazao. Anapenda kilimo sana japo nimstaafu,
In fact,
ana endelea vizuri na as a leader nimembless sikukuu na kakitu tangu mapema sana ๐
We dada huwa nakupenda ww Acha Tu kwa madini kama haya ,tafuta sehemu tujipooze ata KeshoNje ya mada
Mara ya mwisho umempigia baba yako lini?
Kina mama wako overrated kinyama! Kina baba nao wana moyo
Kwanini wanamama wanatritiwa kama special group ๐
Asante , amina .Pole sana mkuu
Amepumzika tena kwa amani.
๐๐๐Oyaah kuna Watu wanajua kuiombaMtego huu wadada kuweni makini.
๐๐๐Kwamba atakulizaNa bado ukamwacha na vichanga vyake?
Sasa hiyo huruma mbona haipo hapa Mangi?
Huruma ni pamoja na kuwaoa Ili uwape heshima, hao uliowala uliwqonyeaha huruma mithili ya mamio?
JF tusipretend Mangi, Mimi nampenda mama yangu ila siwezi MWEKA karibu na pesa ataniliza.
JF tusipretend Mangi, Mimi nampenda mama yangu ila siwezi MWEKA karibu na pesa ataniliza
๐ฅน๐ฅนAsante , amina .
Nilivyokuwa nampenda alifariki tarehe 30/12
Mimi tarehe 10/01 naenda kuanza form one boarding huko.
Nilikuwa kila nikimkumbuka nalia kabisa hadi natoka darasani naenda nje naliaa wee nikichoka narudi darasani walimu walikuwa wanajua wananiacha niende kulia nje.
Ilinichukua karibia mwezi mzima .
Just emigine nilikuwa mtoto pekee wa kiume kwake so alikuwa ananipenda sana tena waziwazi kulipo sister zangu alikuwa anaweza kuninunulia mimi peke yangu zawadi , au alikuwa na kawaida ya kutoka out na mimi tu ma sister wakilalamika wanaambiwa mimi ndio mlinzi wake.
Miaka 20 sasa imepita tokea afariki .
Kwa sasa nikienda tu kijijini hata kabla sijaweka mabegi chini naenda kaburini kwake kusali
Mkuu umeandika kwa hisia sanaWe dada huwa nakupenda ww Acha Tu kwa madini kama haya ,tafuta sehemu tujipooze ata Kesho
Yaani mfano mdogo tu barabara inajengwa bila kutaja neno wamama na watoto wanateseka inaonekana hio barabara sio ya muhimu kujenga ..Sijui kizazi tunakipeleka wapi
Pole Sana mkuuAsante , amina .
Nilivyokuwa nampenda alifariki tarehe 30/12
Mimi tarehe 10/01 naenda kuanza form one boarding huko.
Nilikuwa kila nikimkumbuka nalia kabisa hadi natoka darasani naenda nje naliaa wee nikichoka narudi darasani walimu walikuwa wanajua wananiacha niende kulia nje.
Ilinichukua karibia mwezi mzima .
Just emigine nilikuwa mtoto pekee wa kiume kwake so alikuwa ananipenda sana tena waziwazi kulipo sister zangu alikuwa anaweza kuninunulia mimi peke yangu zawadi , au alikuwa na kawaida ya kutoka out na mimi tu ma sister wakilalamika wanaambiwa mimi ndio mlinzi wake.
Miaka 20 sasa imepita tokea afariki .
Kwa sasa nikienda tu kijijini hata kabla sijaweka mabegi chini naenda kaburini kwake kusali
Acha Tu Ndugu yangu unaweza fika mfano Tu hospitalini Wanaume wapo wengi Tu wanapigwa au kuonewa na familia zao ila utaskia kapata ajali ya Bodaboda uyo ukivuta hisia inaumiza SanaMkuu umeandika kwa hisia sana
Lakini ukweli ni kwamba wamama wanapewa value sana huku upande wa pili wakiwa watazamaji tu wakati sisi wote ni binadamu
Samahani mkuu, sina mama!๐ฅAu hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
View attachment 3310163
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima kuwe na baraka ilio na nguvu. Vile vile kama ilivyo laana kuwa haitoki kirahisi rahisi hivyo hivyo hio baraka special ndani yake haitoki kirahisi rahisi.
Na baraka hii anakuombea kila siku ila naamini itakuwa maradufu kama pale utakapo mkumbuka mama yako kwa nama ilio special, mara kwa mara na ukimuombea afya njema (sala) mara moja moja pale unapokutana naye au kumpigia.
MPIGIE MAMA SASA HIVI NA UMTAKIE SIKU NJEMA.
KWA WALE MAMA ZAO WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI, NAWAOMBEA AMANI NA PUMZIKO HUKO WALIPO๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ
Hii hoja ya Joanah naiunga mkono asilimia mia..double standards Kwa wazazi ni kitu ambacho hakikubaliki kbs..bahati mbaya na mibaba inashiriki kupalilia hizi double standardsNje ya mada
Mara ya mwisho umempigia baba yako lini?
Kina mama wako overrated kinyama! Kina baba nao wana moyo
Kwanini wanamama wanatritiwa kama special group ๐
Amen mkuuPOLE MKUUU
POLE SANA
Kama amepumzika basi namuombea kwa Mungu aendelee kulala kwa amani๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ