ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Hili swali kwa wanaJF n sawa na kuulizia bikra kwenye wodi ya wazazi πndugu yangu Mbaga Jr hapa anaongelea kushika Billion 1 na sio kushika Vilainishi (vitendea kaz vyako vya kupiga nyeto ) πππ.
Alaf Jamaa anasisitiza majibu ya kweli. Billion 1 na unataka wana JF wakupe majibu ya kweli? ππππ
Wakat ww haujauliza swali la kweli.
Huna akili!, unawinda sungura baharini!Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.Mara ya kwanza unashika zaidi ya tsh.billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?
Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa
Kuna watu wanamiliki hiyo 1 Bill.Hili swali kwa wanaJF n sawa na kuulizia bikra kwenye wodi ya wazazi π
Bora anageuliza experience ya kuwa jobless tunasavaivu vipi tuseme ukweli π€Hili swali kwa wanaJF n sawa na kuulizia bikra kwenye wodi ya wazazi π
πππππSijawahi shika hata milioni 60 kwa mara Moja! Hela yangu kubwa kushika ilikua 56M mkopo wa miaka 8!
Aise nilijiona tajiri, yaani ile unaenda kutoa hela kwenye ATM kama 2m halafu unaona kama hakijapungua kitu! Full kufanya massage with happy ending! Aise ziliisha hata sijui ziliishaje!
BASI mkuu tufanye 100 Mndugu yangu Mbaga Jr hapa anaongelea kushika Billion 1 na sio kushika Vilainishi (vitendea kaz vyako vya kupiga nyeto ) πππ.
Alaf Jamaa anasisitiza majibu ya kweli. Billion 1 na unataka wana JF wakupe majibu ya kweli? ππππ
Wakat ww haujauliza swali la kweli.
Nimeona hapo mkuu una stocks za kampuni 6. Naomba unisaidie kujua kampuni ulizowekeza. Hongera
JE 100 MMimi sijawahi kwakweli nisiwe muongo π