Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

Kwa hiyo MUNGU wa kweli ni poweless kutibu magonjwa yasiyotokana na spiritual problems? MUNGU wa kweli asiyeweza kutibu ugonjwa wowote akitaka huyo siyo MUNGU bali ni devil.
Je tuongee philosophy au believes!?
Philosophical point of view:-
Je Mungu anaweza kuumba jiwe kubwa na zito na aisweze kulibeba!?
 
Definitely no. God's is not constrained by any law of nature, And the bible and other human experiences holds that.
 
Mkuu una uhakika uliona malaika [emoji1787][emoji1787]isijekua uliona mzuka!!!!

Mm kwa kweli natamani kuielewa story yako ila ilivyo ndefu naona uvivu kusoma yote [emoji276]km una audio ntumie.
 
In the end, ameshaanza ku-question uwezo wa MUNGU kufanya lolote atakalo. Down the road,the devil will showup himself 🤣 🤣 .
 
Definitely no. God's is not constrained by any law of nature, And the bible and other human experiences holds that.
Mzee usitake kututisha kutokana na imani yako mzee. Nimekuuliza swali unaanza kuleta porojo. Unamjua Mungu au ulifuata mapokeao tu mzee!?
 
Don't behave like a kid- wapi nilipokutisha? Unaamini malaika halafu humwamini MUNGU aliyem-create? what a stupid argument
 
Mzee unataka kunilazimisha imani yako!? Mbona unaanza kutoa maneno makali!? Hapa naongelea kile nilichokiona wewe unaleta ubishi.

Nimekuuliza swali unamjua Mungu au umesimuliwa tu!?
 
Very childish, hizi aspect za malaika na mambo ya imani aliyeleta hapa jukwaani ni nani au ulifikiri una argue na clueless peoples? Yes I know God, so what?
 
Mbona unachanganya lugha mzee. Andika kwa kiswahili au kwa kingereza pekee.
Nimekuuliza swali una mjua Mungu au umesimliwa!? Mimi nimekutana na malaika halafu wewe unabisha.

Basi leta taarifa yako kuhusu Mungu.
Acha makasiliko mzee.

Halafu unasema niache childish, umeona haya ni mambo ya kitoto mbona unayafuatilia!?
 
Mimi nimemuelewa,
Malaika ni Mjumbe wa Mungu, anakuja kwa niaba ya MUNGU, Kwahiyo anasema "Mimi nilivyo ndivyo nilivyo" hii ni sifa ya MUNGU, Hakuna mwingine anayejitambulisha hivyo isipokuwa Yahwe.
 
Lakini unatambua kwamba mwandika mada haamini kwamba MUNGU ni supreme being? 🤣 🤣.
 
Malaika huongea kwaniaba ya MUNGU, Jacob inaamika alipigana na MUNGU, Lakini ukweli alikuwa Malaika, Malaika anakuja na AUTHORITY kwa kuwa anapewa apeleke anakokwenda.
Natambua kuwa bado hajafika mwisho, mwishoni lazima Malaika wake atamtaja MUNGU.
 
Lakini unatambua kwamba mwandika mada haamini kwamba MUNGU ni supreme being? 🤣 🤣.
Mzee mbona unanilazimisha nisema unachofikiria!? Hebu soma uzi huu mwanzo mpaka mwisho.

Si vyema kujitungia mambo ambayo mwenye thread hajayaongelea. Huo ni uongo.
 
Malaika huongea kwaniaba ya MUNGU, Jacob inaamika alipigana na MUNGU, Lakini ukweli alikuwa Malaika, Malaika anakuja na AUTHORITY kwa kuwa anapewa anakokwenda.
Natambua kuwa bado hajafika mwisho, mwishoni lazima malaika atamtja MUNGU.
Soma post zake za mwishoni utamwelewa. Hanamini kwamba hakuna lolote linaloweza kumshinda MUNGU, na kwamba kuna mambo MUNGU hawezi kufanya ikiwemo kutibu baadhi ya magonjwa. Anaamini God's power is limited.Period
 
Unahangaika sana mwanangu. Badala ya kujadili mada umeanza kunijadili mimi.

Intelligent discuss issue, stupid people discuss personality.
 
Kijana wa kiume punguza GUBU. Otherwise amia upande wa pili.
 
Hebu jadili hoja mtu wangu. Mbona umekuja na mambo ya ajabu.

Mimi nimesema nilikutana na malaika wewe unakataa. Sasa nikisaidieje!?
 
Uko deep Sana mzee[emoji120][emoji120][emoji120]
Nuff respect
 
Niambie hapa Yesu alikuwa anaongelea nini!?
Soma biblia:-
43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
Luka 23:43
@Venus Star Ni maneno aliyokuwa anaambiwa yule bwana waliekuwa nae msalabani,
Aliomba akumbukwe katika uzima wa ufalme wa baba yake.
 
Hii inaendana na Third eye mkuu?@Venus Star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…