Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azazel ni symbol ya shetaniAzazel ni nani!? Kwa kuongeza maarifa soma The Book of Enoch.
No. Soma kitabu cha Enoch.
Sio symbol ni jina la moja wa viongozi wa malaika walioshuka duniani
Namba 3 it is almost impossible.Mkuu endelea na andiko nimesoma point zote...nataka nijifunza jinsi ya kupata nguvu mojawapo ya zilizopo..1.Uponyaji 2.Utabiri 3.Kupata chochote nachohitaj au mtu 4.Maono.
Ahsante mkuu naelewa kidogo,chating ni ni nini,?hizo siku 3 ni kavu,sababu nitakufa njaa nina matatizo kiafya?!Namba 3 it is almost impossible.
1. Unaweza ukaweza kuwa na nguvu ya uponyaji kwa magonjwa yanayotokana na spiritual problems.
2,4 Zinaendana. Unachotakiwa, funga kwa maombi na sala kwa muda wa siku zisizopungua tatu. Fanya chating kwenye mfungo wako. Baada ya hapo utakuwa mtu tofauti.
Oh pole sana.Ahsante mkuu naelewa kidogo,chating ni ni nini,?hizo siku 3 ni kavu,sababu nitakufa njaa nina matatizo kiafya?!
Je,muongozo wa maombi napataje,naanzaje na kumalizia na nn,mimi mkatoliki.
Natanguliza shukran,namaanisha.
Waoh..I can see the "new me",Nimekua Na shauku ya kuzama kiroho over ages since my teenagehood,sikuwa napata mwongozo.Oh pole sana.
Unaweza kuanza kwa kupunguza namna ya ulaji.
Unaweza. Lengo la kifunga ni kuufisha mwili ili uweze ku concetrate kwenyw roho. Utakapoudhoofisha mwili utapunguza matendo ya mwili ambayo yanatunyima kuwa na faragha kwenye roho.
Chanting:- ni kuongea maneno mafupi kwa kurudia rudia, au kuimba kwa kurudia rudia.
Mfano unaweza kusema:- "I CAN SEE" hii inaitwa kuingia spirituality by induction.
Maombi yenye nguvu ni matamshi ya maneno ya kitu unachokihitaji. Short and clear. Na unakuwa unarudia rudia.
Hili suala la kurudia rudia maana yake unaubia ubongo(akili) iweze concentrat na kitu unacho kitamka hatimaye nafsi itaanza kusikiliza kutoka katika ulimwengu wa roho kuliko kusikiliza kwenye ulimwengu wa mwili.
Hatimaye spiritual eyes will be open na utaanza kuona.
Kama nilivyosema. Hakuna utaratibu maalum wa kufunga. But lengo kuu la kufunga ni kuutesa mwili na kuunyima mahutaji yake ili upate muda wa kuzama katika ulimwengu wa roho.Waoh..I can see the "new me",Nimekua Na shauku ya kuzama kiroho over ages since my teenagehood,sikuwa napata mwongozo.
Swali la mwisho,naweza kula kidogo usiku tu kama kufungua swaumu?
Hapa nimekuelewa mkuu..Kama nilivyosema. Hakuna utaratibu maalum wa kufunga. But lengo kuu la kufunga ni kuutesa mwili na kuunyima mahutaji yake ili upate muda wa kuzama katika ulimwengu wa roho.
Kitu kinacho tunyima kuingia katika ulimwengu wa roho ni thoughts. Kuanza kufikilia kila wakati mambo ya mwilini. But ukitenga muda na kuunyima mwili mahitaji yake utaanza kudhoofika na hatimaye akili zitaanza kuconcetrate na ulimwengu wa roho.
Binafsi nina uelewa kidogo na mambo ya kiimani.Tulipoishia.... Nikiwa na malaika kwenye mji wa waliokufa duniani.
Alivyokuwa akiendelea kuongea na mimi, nilipata nguvu ya kuongea. Nikamuuliza... Je, wewe umetoka wapi na jina lako ni nani. Akajibu akisema jina langu huwezi kulitamka utalijua, maana mimi najulikana si kwa jina bali kwa nguvu mimi ndivyo nilivyo, utakavyo nilivyo. Hakika siku ile sikuelewa alikuwa anaongelea nini. Vilevile akanijibu mimi sijatokea popote mimi nilikuwepo nipo na nitakuwepo. Majibu yale yalikuwa magumu sana kwangu yalipita tu.
Akiniita David wewe nimekufunulia leo habari kuu za ulimwengu, ongea na wote wenye kujua na wenye moyo mkunjufu wataelewa na kufuata haya nitakayo kuambia leo hii.
Waambie hakuna mkuu wa dunia zaidi ya mtu mwenyewe. Mtawala wa mtu ni yeye mwenyewe. Waambie wapate kujua kuwa yeye atakaye ufalme wa mwili atapata na atakaye ufalme wa milele atapata. Umeona wale wafu wa dunia, walikuwa wakifanya mambo yao kwa faida ya mwili, hakika nakuambia mwili ni ulimwengu wa macho, katika ulimwengu huo unapitia na kujifunza mengi. Lakini mwisho utafika kwenye uhalisia wako.
Waambie, mambo haya mawili humpata mtu akiwa katika ulimwengu wa macho, yeye huzaliwa na yeye hufa. Waambie hakuna tofauti katika hilo. Anayezaliwa leo hajui utajiri, mali, na vitu vingine kama hivyo. Anapozaliwa hutoa kilio, maana ameingia kwenye sehemu ya maisha mengine.
Mtu hufa ndilo tukio jingine akipotalo. Hilo ni kielelezo cha kuonesha kuwa ulimwengu wa macho si wa kudumu bali ni wa muda. Ni kielelezo cha kufahamu kuwa yote yaliyopo kwenye ulimwengu wa macho ni yakupita. Chuma hupata kutu, kinalika na kuisha, masika huja na kuondoka, maua huonekana mazuri na kisha hunyauka, utawala na ufalme huja na kupita. Haya yote ni kielelezo cha kukukumbusha kuwa kuna jambo unatakiwa ufanye muda ni sasa.
Waambie wenye ufahamu, waambie wenye akili wapate kujua siri za ulimwengu huu. Jambo utalo waambia ni hili, kwenye ulimwengu wa mwili yapo mambo mawili, hayo mambo hayapingani bali yanafanya ukamilisho. Kuna kuzaliwa na kufa, kuna giza na mwanga, kuna kulia na kushoto, kuna juu na chini, kuna hasi na chanya. Yote haya yawe kielelezo kwao wajue kuwa nguvu za giza ndizo hizo hizo ni nguvu za mwanga.
Waambie wajue .......
🤣 🤣 🤣Like seriously??, logically unajua kwa nini kitabu cha enoch kiliondolewa kwenye biblia ya sasa? Otherwise bado utakuwa una safari ndefu sana kwenye mambo ya kiimani na ume-base kwenye imani ya kuokoteza.Azazel ni nani!? Kwa kuongeza maarifa soma The Book of Enoch.
Satanic teachings. Haihitaji nguvu nyingi kuweza kutambua ni mambo ya kishetani kwa mlango wa nyuma aliyoyaandika hapa jukwaani.Mpaka hapo story yako inapingana na biblia hivyo ni dhahiri hao ni Malika wa giza wanajaribu kukutumia kukutoa ktk njia na kuongoza kuwatoa wengine ktk misingi ya kweli za biblia.
Cha kufanya washirikishe wengine wakusaidie mfunge pamoja kukemea na kuomba neema ya Mungu na roho hao wachafu watakoma kukufuata
Kwa hiyo MUNGU wa kweli ni poweless kutibu magonjwa yasiyotokana na spiritual problems? MUNGU wa kweli asiyeweza kutibu ugonjwa wowote akitaka huyo siyo MUNGU bali ni devil.Namba 3 it is almost impossible.
1. Unaweza ukaweza kuwa na nguvu ya uponyaji kwa magonjwa yanayotokana na spiritual problems.
2,4 Zinaendana. Unachotakiwa, funga kwa maombi na sala kwa muda wa siku zisizopungua tatu. Fanya chating kwenye mfungo wako. Baada ya hapo utakuwa mtu tofauti.