Inawezekana katika Encrypted format.Wawe on top of things how? Mnapitishia Mawasiliano yote ya simu kupitia Satellite za nchi nyingine na intercontinental submarine fiberoptic cables za wengine mnadhani nini?
Mkuu kwani hupendi nchi yako? Msemo unasema Nyumbani ni nyumbani hata kama ni nyumba ya nyasi ni NYUMBANI na kuna SIRI za NYUMBANIHivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?
Hawakuinglia ila WALIJARIBU WAKAGUNDULIKA ndo hiyo tunayoitaka kwetu. KUZUIA na KUGUNDUA[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu sasa unataka kujilinganisha na wamarekani kwenye Technology?
Hacker?? Hackers wanazui ikulu ya Tz kuchugnuliwa ?
Unataka kusema Tz tuna watu wa caliber ya kina Snowden?
Kama utakumbuka CIA waliingiliaga Mazungumzo ya Siri ya Chancela wa ujerumani Angel na uwezo wote wa ujerumani sembuse Magu wa Tz...
Tz bado sana
Tz wanadukua wakiwa manakula ubuyu kabisa [emoji38][emoji38][emoji38]Kama wameweza kumdukua Angela Mikel itakuwa hapa?vifaa vyote vya mawasiliano ni vyao tutaweza kuwazuia?
Asigwa, Kwa nini si ishu ya ajabu?Bongo hapa kudukuliwa si ishu ya ajabu....
Kwa techmologia ipi?Hawakuinglia ila WALIJARIBU WAKAGUNDULIKA ndo hiyo tunayoitaka kwetu. KUZUIA na KUGUNDUA
Mkuu si wote. Kuna hasara zake.Wacha yadukuliwe, mengi ni madikteta
Ndo hapo sasaHivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?
Wenzetu wako mbele katika teknolojiaKwa techmologia ipi?
Hata wame graduate/Kuhitimu wametoka huko wako mbele sana sasa!Hili ni tatizo la muda mrefu hawa jamaa wana uwezo mkubwa wa kudukua kama kuna mtu anaweza kutafuta kitabu "The spy catcher"
Sadock kweli hatari lakini una wazo gani, tufanyeje?hii hatari sana
Ni kweli mkuu. Ikulu ilikuwa inatumia email ya yahoo mpaka hapa juzi juzi eti ndo wamehamia Gmail. Sijui kama kuna secure line ambayo rais huwa anatumia.Sasa Tanzania tutaficha nini?
Tunaficha nini kwa mfano yaani with our poor Technology....
Mawasiliano tuko dependant 100% , Telecom devices zoteee tunanunua kwao alafu washindwe kutuingilia ?
Sijui ikulu na viongozi wetu wanatumia njia gani kuwasiliana on private issues lakini najua wana laini za voda, Tigo, halotel ,airtel sijui na TCCL
Hatuna hata Cyber Army yakufanya propaganda kama wenzetu....
Kama vipi wapigiane tuu simu za kuonana..waongee face to face...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
yeah ni kweli but cku zote unapofanya investment lazima pia uangalie wnapata nn in return,mfano wadukuz weng wanaodukua nchi za ulaya na marekan weng wao huwa wanadukua siri za makampuni makubwa ya biashara ama ya silaha ili watumie taarifa hizo kuwasaidia kuendeleza makampuni yao pia kwahio hapa bajeti znazowekwa na serikali husika kwe viombo vyao usalama ili kuzlnda taarifa za kampun zao zinakuwa ni sawa.....nakumbk pia hawa wabritish kwa huku east africa wamekua wakidukua sana kenya hsa kwajili ya kutrace link za al shabab na c kwasababu zingne kwahio kwa mtazamp wang mm kwekeza huko ni muhimu lakin kwa sasa hatuna udharula huo labda uko mbelen kwasasa tuendelee tu kuwekeza kwe elimu itatusaidiaga huko mbelen kuja kusolve changamoto km hiziNafikiri pia serikali inaweza KUWAONGEZEA BAJETI ya kutosha upande wa...... chombo husika ili wawe na uwezo wa kufanya counter UDUKUZI na vifaa vya kisasa. Ama unaonje mkuu?
Mkuu,Sadock kweli hatari lakini una wazo gani, tufanyeje?
Inabidi sasa tunapokuwa miili tukue na akili zetuHivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?