Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Mabalozi wenyewe tunaletewa majasusi nguli. Balozi wa US alikuwa Deputy Chief Of Staff White House. Balozi wa Uingereza aliyemaliza mda wake Diana Melrose naskia ni nguli MI6. Imagine alikuwa Cuba kabla ya kuletwa hapa. Rasilimali zetu ndio zinafanya tunafatiliwa hivi. Kutembelewe na Marais watatu wa US na wawili wa China sio jambo dogo. Hawa ndio mataifa makubwa ya kiuchumi duniani. Tulisikia pia mipango ya Putin kuja Tanzania naona aliharisha.
 
Tumewakaribisha wenyewe, Tumeishi nao, tunafanya nao Kazi na wengine wameajiri watu pamoja pia wanashirikiana na Mashirika ya Serikali, wengine wameishazaa na watoto na kujiita Watanzania-Uchwara!

kwa kifupi wameishatudukua vya kutosha labda na sisi tujipange kisirisiri ili baadae tuwaondoe!
 
Kwenyev hili wazungu hatutawaweza kwasabu technologies ni zao wenyewe
 
Mpaka wataalamu Wa Kisukuma wapo huko???
Kila lugha wana watu wao kulingana na interest na kitu gani wanakitaka chezeiya watu wenye focus ya kitu huwa hawashindwi. We jiulize wamisionary walivyoweza kujifunza lugha mbali mbali za makabila na kutafsiri vitabu. Wenzetu wako serious hawashindwi.
 
Mkuu hawa wazungu wanaweza kutuwekea vifaa vyao hata kwenye ikulu zetu
 
Huku bongo michongo yetu ni kibrob matokeo ya uchaguzi ,kutumbua so far hatuwezi kizuia chochote
 
Hivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?
Hujui inaloongea. TZ ni duni?
 
Mitambo yote ya mawasiliano inatoka huko huko, hatuna ujanja wa kuwazuia wasitudukue watakapo.
 
Ni muhimu kujua kila jengo hasa zilizo karibu na juu zaidi.
 
Inadukuliwa Ujerumani sembuse sisi makapuku tusio na technology.
 

Kwanza hawahitaji hata utumie simu wanaweza wakaku locate na kukufuatilia 24/7 wakipenda....Google earth ni mfano tu wa technology ile yenyewe haijawa released bado kwenye market level...

Ila sisi tunaweza tukipenda tukaizuia kujiingiza haraka kwente technology kwa mambo yetu ya siri...kwa mfano tupo very un coordinated hii kiulinzi ni advantageous sana kwa upande wetu....
 
Sisi wetu kama walikua wanamdukua nahisi hawakupata tabu sana maana yeye kupiga simu clouds na kwa makonda hana shida baba wa watu
Msifute post yangu
Mhh, mbona unachimba biti?
 
Tanzania Iko Njema Kuna Mitambo Toka Israel Ipo Hapa
 
Kadukuliwa Putin itakuwa nchi za kiafrica... ni kama biskuti kwenye chai ya mtoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…