Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

Mikutano huu umekuwa kero badala ya fursa.Barabara ninakofanyia biashara zimefungwa na hakuna kufanya biashara Tena.Watakachojadili zaidi hakina unafuu Kwa mwananchi wa hali ya chini maana nishati hawataki kushusha bei ili Kila mwananchi amudu kutumia nishati safi.
 
𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱​

Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)​

Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025.

Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia, na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

Washiriki wakuu watakuwa:
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • Marais wa Nchi za Afrika 24
  • Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika 21
  • Wakuu wa Taasisi za Kimataifa 6, wakiwemo Rais wa Benki ya Dunia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, na Rais wa Taasisi ya Rockefeller
  • Washirika wa Maendeleo 5
Zaidi ya washiriki 2,600 wa ndani na nje ya Tanzania wamejisajili kwa ajili ya kushiriki.

Tukio hili litarushwa live moja kwa moja kupitia link ifuatayo:
👉 Tazama Live Hapa:
Muda wa kuanza: Saa 8:00 Asubuhi (EAT)

Usikose kutazama tukio hili kubwa linalolenga kubuni njia za kuwafikishia umeme watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030!

AGENDA:

View attachment 3215109
View attachment 3215110
View attachment 3215111
View attachment 3215113
View attachment 3215114
View attachment 3215115
View attachment 3215117
View attachment 3215118
View attachment 3215119
View attachment 3215119
View attachment 3215120
Kusanyiko la madikiteita wa kiafrika

*Donald Trump explains his statements against Africans:

1. If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you human? Donald questioned.
If you sit on gold, diamonds, oil, uranium, iron, copper, silver, magnesium, crude oil, gas, if your people die of hunger, without health and with nothing to live on, with terrible education, do you feel human? - Donald said.

2. If you stay in power, you buy weapons abroad to kill your own citizens, are you human?

3. If you despise and shoot your own citizens like nothing, who will respect them?

4. If you become a thief in your own country, stealing all the resources destined for your country, while most of your brothers are miserable, starving and living very poorly, is that being human?
 
𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱​

Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)​

Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025.

Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia, na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

Washiriki wakuu watakuwa:
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • Marais wa Nchi za Afrika 24
  • Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika 21
  • Wakuu wa Taasisi za Kimataifa 6, wakiwemo Rais wa Benki ya Dunia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, na Rais wa Taasisi ya Rockefeller
  • Washirika wa Maendeleo 5
Zaidi ya washiriki 2,600 wa ndani na nje ya Tanzania wamejisajili kwa ajili ya kushiriki.

Tukio hili litarushwa live moja kwa moja kupitia link ifuatayo:
👉 Tazama Live Hapa:
Muda wa kuanza: Saa 8:00 Asubuhi (EAT)

Usikose kutazama tukio hili kubwa linalolenga kubuni njia za kuwafikishia umeme watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030!

AGENDA:

View attachment 3215109
View attachment 3215110
View attachment 3215111
View attachment 3215113
View attachment 3215114
View attachment 3215115
View attachment 3215117
View attachment 3215118
View attachment 3215119
View attachment 3215119
View attachment 3215120

Maonyesho tu Africa hakunaga utekelezaji
 
𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱
Thanks for this.
1.
 
1.jpg
 
🌍 Live Stream Alert! 🌍

Jiunge nasi kwenye 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁 tarehe 27-28 Januari, 2025, viongozi mbalimbali wakijadili mustakabali wa nishati barani Afrika!

📌 Mahali: Dar es Salaam
🎯 Malengo: Kufanikisha upatikanaji wa umeme kwa Waafrika milioni 300, ikiwemo Watanzania milioni 8.3 ifikapo 2030.

Usikose nafasi ya kushuhudia mazungumzo na mawazo bora yanayolenga kubadili maisha kupitia nishati endelevu.

🔗 Tazama mubashara hapa!
1:
View: https://www.youtube.com/live/tbw0W_AeUKk?si=qu4ygf7XykoKhpoS

2:
View: https://www.youtube.com/live/o6bgARGZYwg?si=LAKeDhXEF4p_nwJp

Join us for the 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁 on January 27-28, 2025, as our leaders discuss the future of energy in Africa!

📌 Location: Dar es Salaam
🎯 Goal: To provide electricity access to 300 million Africans, including 8.3 million Tanzanians, by 2030.

Don’t miss the opportunity to witness impactful discussions and innovative ideas aimed at transforming lives through sustainable energy solutions.

🔗 Watch the live stream here! 1:
View: https://www.youtube.com/live/tbw0W_AeUKk?si=qu4ygf7XykoKhpoS

2:
View: https://www.youtube.com/live/o6bgARGZYwg?si=zKodwO7oAf5gn8yU

#AfricaEnergySummit #EnergyForAfrica #SustainableEnergy
 
𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱​

Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)​

Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025.

Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia, na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

Washiriki wakuu watakuwa:
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • Marais wa Nchi za Afrika 24
  • Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika 21
  • Wakuu wa Taasisi za Kimataifa 6, wakiwemo Rais wa Benki ya Dunia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, na Rais wa Taasisi ya Rockefeller
  • Washirika wa Maendeleo 5
Zaidi ya washiriki 2,600 wa ndani na nje ya Tanzania wamejisajili kwa ajili ya kushiriki.

Tukio hili litarushwa live moja kwa moja kupitia link ifuatayo:
👉 Tazama Live Hapa:
View: https://www.youtube.com/live/o6bgARGZYwg?si=gP6Q41jhT7znTZxh

Au unaweza Kujisajili pia hapa:
Muda wa kuanza: Saa 8:00 Asubuhi (EAT)

Usikose kutazama tukio hili kubwa linalolenga kubuni njia za kuwafikishia umeme watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030!

AGENDA:

View attachment 3215109
View attachment 3215110
View attachment 3215111
View attachment 3215113
View attachment 3215114
View attachment 3215115
View attachment 3215117
View attachment 3215118
View attachment 3215119
View attachment 3215119
View attachment 3215120

Vizuri
 
Wengi wa marais waliokuja ni toka mataifa yaliyofeli na sio mataifa ya maana wala la maana la kiiga
 
Back
Top Bottom