Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Nimenukuu ulisi ya uchebe kwahiyo tuliza komweulisi=urithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimenukuu ulisi ya uchebe kwahiyo tuliza komweulisi=urithi
Mwambie shubi akufundishe kuandika vizuri
ulisi ni pombe ya wapi? Au kiswahili cha wapi?
Kazi ipoJana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.
Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Kwamba humjui binti yako wa kambo hapo home kwako? Mwambie mkeo zamaradi akufundisheOh okay! Nipe namba yake.
Asee nilipewa kazi ya kufufua landrover Tdi na tajiri mmoja hivi sasa nilihitaji spare zake nyingi tu nikacheki kwa hapa dar nilipata ila bei yake mpk tajiri akastuka tukapata duka lingine Moshi asee spare bei rahisi sijui kwanini mzee.Siyo hawaziamini Dar spare bei kubwa Moshi rahisi.
Mfano gear box ya Fuso Dar inafika 5.5mil wakati Moshi hiyo hiyo used kutoka Dubai/Japan inakuwa 3.5 to 4mill so unaweza ukaona namna huo utofauti unavyokuwa mkubwa,japo kulinda brand ilibidi kwa gharama yoyote spea ipatikane abiria waondoke
Kazi ipo
...Pole. Heri kuchelewa Kuliko Kutofika Kabisa...Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.
Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Aliingia kichwa kichwa kwa kukurupuka ili kutaka sifaUsimamizi, mikopo na SAAB SCANIA
Ili iweje!Kuna mambo ukisimuliwa utajua ni chai
Msalimie JaneMrejesho, baada ya usingizi kukata kumbe basi liliingia Moshi saa 5 usiku! Hivyo basi lilitumia saa 17 toka Dar mpaka Moshi!
This is Marangu Couch, Welcome aboard, usisite kuwasiliana na wahudumu wa basi endapo utakuwa na tatizo isipokuwa la kifedha na kimwili.
Mamkwe acha ubabe😂Nimenukuu ulisi ya uchebe kwahiyo tuliza komwe
Kuna mzee mmoja mtu mkubwa tu tena kitengo anawekeza na hamshirikishi mkewe anatushirikisha watu baki. Tulimkazia sana amuonyeshe mkewe. Lakini kuna muda pia labda kuna madhaifu anayo mkewe tusilaumu sana aisee. Japo ni tatizo. Wamama wengine hawanaga adabu. Mume akitangulia anaenda kula mali za mumewe na viben ten mpk anafilisikaSisi hata mume hamshirikishi mkewe, akifariki ghafla mwanamke hajui walichonacho kifamilia.
Hapa ni Mombo sio?View attachment 2773269
Hotelini, jengo pembeni ni choo maarufu kwa wasafiri wa Moshi Dar.
Ameenda kozi Dubai.Msalimie Jane
Kheee.. muone huyu nae. Nani anamuonea wivu sasa? Acha umama. Hapa tunajadili uzembe wake. Unategemea aiendeshe kampuni kwa usahihi? Kidogo no ngumu kwake japo anajitahidi. Halafu koma, sina njaa hizo. Na huo ndo ufala wako mmarangu..Acha nongwa mkuu kwani dogo akila bata, akigonga gari si za babake wewe inakuuma nini. Au wewe hukuachiwa kitu. Hahahaa Pole sana pambana wanao waje wayafaidi maisha bladfool
Okey. I real dont know.Alikuwa hisa bado
Hahahahahaha umeniuaaa. Pole sana mkuuMrejesho, baada ya usingizi kukata kumbe basi liliingia Moshi saa 5 usiku! Hivyo basi lilitumia saa 17 toka Dar mpaka Moshi!
This is Marangu Couch, Welcome aboard, usisite kuwasiliana na wahudumu wa basi endapo utakuwa na tatizo isipokuwa la kifedha na kimwili.