Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

Swala la ushoga limeenea 🇹🇿 yote kwa sasa,hakuna sehemu hapa tanzania ushoga hakuna,hii kitu tumeiga kwa wenzetu wa 🇰🇪, ambapo kule kwao wanajadili kuuruhusu uwe public,ishu hii imekuwa kwa kasi africa kwa kwa sababu ya OBAMA,na hapa tulipofikia hatuwezi kupambana tena kuuzuia,ni wewe na familia yako ndo upambane kivyako,bora hata makonda alijaribu kapambana nao hali ikawa kimya kimya,ila sasa kwenye mitandao ya simu haswa TIK TOK Kule ndo mtandao wa mashoga,na ndo mtandao unaopendwa sana sasa kama simu za smart zimekuwa kama maembe mtaani,kizazi kinachokuja kitakuwa kinanuka mavi MUNGU atusaidie kwa hili,maana hatuna jinsi tena zaidi ya kumuomba MUNGU, mambo haya yalisha andikwa kwenye vitabu enzi zile lazima yatimie tu
 
Watakuja na maneno ya kichugastan na kupinga vikali hizi tuhuma😁
 
Inahuzunisha Sana.
 
hali ni mbaya sana kwa kweli.
huko zanzibar siku chache zilizopita mashoga watalii wamevishana engagement ring hadharani ufukweni.
 
Aisee!!?
 
Hivi watoto wadogo wanaolawitiwa na wachungaji pamoja na mapadre nao ni marasta wa Arusha? Je wanaowalawiti ni wazungu? . Ukiondoa ushabiki ama chuki iliyojificha ndani ya uzi wa mleta mada kwa watu wa Arusha, mada yake ni ya msingi sana. Ni lazima kama nchi kuwe na mkakati maalumu wa kupambana na hii tabia ya ushoga iliyoenea nchi nzima. Wazee wa kula kimasihara mara ngapi kule kwenye uzi pendwa mnawasifia wanaofukua mtaro na kuwaona washamba ambao hawafanyi hivyo? Hii inatosha kuonyesha ukubwa wa ushoga hapa jukwaani sio kidogo tofauti ni dhana tu ya nn maana ya ushoga tuliyo nayo kati ya mtu mmoja na mwingine.
 
hali ni mbaya sana kwa kweli.
huko zanzibar siku chache zilizopita mashoga watalii wamevishana engagement ring hadharani ufukweni.
Sasa kwa dizaini kama hii hapo wabongo wanaoiga nini,hili swala ndo tayari lishaingia kwetu hatuwezi tena kulizuia,tulipokubali tu utandawazi ndo turiruhusu ili swala,na hatuwezi zuia wageni wasije 🇹🇿, wasipokuja hatuwezi kukuza uchumi wetu,daily nawasafirisha porini huwa nasafirisha couples za kiume mara nyingi,wanalala chumba kimoja mbugani,hali imekuwa mbaya kweli
 

Kitu kizuri
 
Kutobolewa spika Ni janga hapo Moshono, Arusha. Maana wengi hawakusoma na hawana wanachojua zaidi ya utalii redefined.
Pia, tayari Wana role models waliotoboa maisha (ikiwemo kuanzisha kampuni) kwa kutobolewa kinachoitwa SPIKA
 
Arusha bila ya utalii wangekua na hali mbaya sana, waombe wanyama wote wasihamie serengeti au kenya watalia machozi ya damu
Wanyama ni natural ya africa nzima,ndo maana arusha kuna mbuga nyingi,kama arusha national Park,Mount meru kuna wanyama kule,manyara,tarangire,ngorongoron.k na sasa hivi serikali wamekuwa makini ndo maana unaona watu wanaondolewa kwenye mbuga za wanyama ili kuwapa wanyama wigo mkubwa wakuzaliana,hali ya hewa ina wafavor sana wanyama na itatokea hata siku wanyama wakatoweka arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…