Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

Irie rasta [emoji109]
 
Kuna tofauti kati ya Rastafari na mtu mwenye dreadlocks a real Rastafari hawezi fanya against nature tatizo wabongo wakiona nywele kama za Kibu Denis wanajua ni Rastafari kuna wa Natty kama mimi sina dreads ila ni true Rastafari
 
Rasta ni imani,chakula,na matendo true rasta anafanya kazi kwa mikono yake mwenyewe
 
hiki unachokisema ni kweli. wakati flani nikiwa kendwa rock beach zanzibar, nilisimuliwa hii habari na aliyenisumulia alinionyesha mpaka kijana wa kimasai anayefanyiwa jambo hili.

nilisikitika sana.
Yani miaka kumi ijayo wanawake waArusha watakosa wanaume wakuwanao kwenye mapenzi itakuja kufikia wanawake wa Arusha wanaenda Mikoa mingine kutafuta wanaume tena kwa kuwalipa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Akili ya kumtegemea mtu ni mbaya sana hadi inafikia kuuza utu kizazi kimeshaharibika.
Yani wanatutia aibu vijana kutoka bara, Yani imefikia vijana hatutaki kufanya kazi kwa kutegemea pesa ya Mwanamke kingine hawana akili ya maisha yani utakuta hana sehemu mahalumu pa kulala wanalala vibandani tu, hawajui kama wanatumiwa kingono tu na kuachwa nakupotezewa muda maana kumpa mimba mzungu mpaka atake yeye na wazungu hawapendi kuzaa unaweza kuishi naye mpaka unafiki miaka 50 na uzizae naye na ukija kushtuka umesha zeeka huna mtoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Yani miaka kumi ijayo wanawake waArusha watakosa wanaume wakuwanao kwenye mapenzi itakuja kufikia wanawake wa Arusha wanaenda Mikoa mingine kutafuta wanaume tena kwa kuwalipa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Daah ndugu wewe unachuki sana na arusha,yani kilichobaki kwako ni chuki tu,yani unashindwa kuangalia ushoga uliopo dar na mikoa mingine,maana dar kuna mashoga kila nyumba,unashindwa kusema baada ya miaka kadhaa watoto wetu wote wakiume watakuwa katika hali gani,wewe hapo unaandika arusha kuna mashoga ili kujipa moyo,unashindwa kusema ukweli wa hali ya dar πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ni kweli mkuu yote uliyosema, kuna marasta feki utakuta Rasta anapigana mkorofi anaruka na Vijana wengi wanaingia kwenye mambo bila kujua misingi yake na utamaduni wa maisha ya jamii usika.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…