Kwamba wanaharakati ni wahaini na magaidi wakati tunalelewa na kuaminishwa kila kitu kinahitaji harakati... Hata wao wamefikia hapo walipo kwa sababu ya harakati!Hii code sisiemu na yule mlevi wao hawawez kuelewa, wao wanajua kuita watu magaidi na wahaini
Hapa hujaeleweka,Huko sahihi
Umempiga kelbuπππ"I am the lecture" hahaa you are the lecture ππππ
Lecturer hujui matumizi ya 'a' na 'the' na tofati ya lecture na lecturer, aibu naiona mimi.
Mwenye jina amekataa kulitumia UCHAWA mmbaya sanaSiasa sio uadui. Kuna wanaCCM wengi tu wanaoichangia CHADEMA kwenye mambo kama haya tatizo ni baadhi yenu kama Heche wanaotafuna michango.
Sahihi iko mkoa gani?Huko sahihi
Wewe kazi kunywa pombe na kuwasaga wanawake wenzako maalun weweHapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Umeajiriwa lini kuwa auditor wa chadema? Internal au external?SI kwa kukomaa Huku!Yah,
mission ya heche ya kifisidi pesa za chama kujikomboa kiuchumi kibinafsi, baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, imefeli terribly gentleman.
You are very right on that π
KUBWA jinga huyo!in both national and international universities,
na siringi wala nini π
Mjukuu twende tukachange.Kila la kheri kwa wachangiaji
Ila naamini kila chama kina mifumo na taratibu zake
Umempa TKO, Chembe kidevu!Ni kweli wapo na ni wengi sana. Ni wale wanaopigania mabadiliko, wasiopendezwa na uchafu wa muuaji na msagaji Samia Suluhu Hassan...
Lakini hao sio wale wa dizaini yako au Chawa wenzako kina Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa au Dr wa Manesi au Troll JF na wengine
Sawa bibi twendeMjukuu twende tukachange.
Si ndio maana nakupenda mjukuu.Sawa bibi twende
Kumbe una ilmu ya MEMKWA ππππyule si mwalimu wa shule ya msingi professionally, lakini pia fisadi, and I am the lecture π
Love you grandmaSi ndio maana nakupenda mjukuu.
Shule za kata ni tatizo boss. Huyu ni wale wanaoita Asubuhi, HASUBUHI.Hapa hujaeleweka,
Huko sahihi,unakanusha
Uko sahihi ,unaunga mkono
Tufafanulie
niliwahi kujitolea kufundisha hilo kundi, aise iliku very interesting class,Kumbe una ilmu ya MEMKWA ππππ