Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Nimechangia kwa moyo wangu wote na nitaendelea kuchangia, leo nina kiu ya bia lakini badala ya kupiga maji hii hela yote naipeleka kwenye kule kwenye mapambano dhidi ya kaburu mweusi.
 
 
Hatuelew tueleweshe
 
Hapo wangewatafuta na wafanyabiashara Wadogo tupate testimony ya jinsi wanavyochangia hata Kwa kuficha sura zao . Hii itamaliza mchezo wote , watu watakiamini zaidi na wafanye kwa mikoa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…