Mara nyingi mwanamke huanza kwa kua mzembe kwenye ndoa, akishanusa harufu ya michepuko kwa mume wake basi Ule msemo wa mwanamke ni shetani hujitokeza.1. Mtaka vyote kwa pupa, hukosa vyote kwa pupa.
2. Popoo mbili zavuka mto.
Cc: secretarybird Lamomy Seran ephen_
Love blindsna ninashangaa kwamba Kweka ambaye ni mmachame alishindwaje kujua namna ya kudeal na hii issue ya kugombania mali za ndoa na hasa ukizingatia mkewe naye ni mchagga kwa hiyo alijua kabisa kabla hata hawajaoana juu ya msimamo wa mali kwa kuzingatia historia ya kabila lao ambayo ipo mamia ya miaka.
Kidogo tu.Muwe wafumiliii...wafumilifu kweli!Babanguuuu Mosejiografi unazingu... Unazingua
Ni sawa lkn zamani mama zetu walipenda kweli, waliteseka wakavumilia mwisho watt ndo wakatesekaHata ndoa za miaka ya nyuma yalikuwepo ni vile wanawake walifanywa kuwa watumwa na kutokuruhusiwa kusema yanayowakumba
Kwahiyo hakuna ndoa ya sasa wala zamani ishu ni wakati tuu mkuu...
Kweka kazingua ngoja tuende kwanza machame
Siyo viwanja vyote vina hati.Na, yawezekana akipewa,alirithi n.k.Mnaweza kujenga sehemu isiyo na hati wala vielelezo vya umiliki halafu baadaye umiliki ukaandaliwa.Umelikumbuka hilo?Ukinunua kiwanja jina linaandikwa lako kwenye hati ya manunuzi,Why hakuandika jina lake? Mwanamke muongo huyu
Mambo ya mwanza miscall 100 na yule mfanyabiashara mkubwa wa samaki aliuwa mke naye akajimaliza mwanza huko,hii dunia uwanja wa fujoTumeumbwa tofauti. Kuna baadhi ya wanaume hawakubali , wanaweka ushindani na wanawake as if ni jinsia moja, hawataki kukubali yaishe, hawawezi kuvumilia maneno machafu na ya kuudhi toka kwa wake zao.
Dunia tunapita
Punguza hasira mkuuπ€£Huyo ni mfanyakazi wa ndani au msemaji wa familia? Huyo alipaswa kuongelea mauaji yalivyofanyika kwa kadili ya alivyoyashuhydia. Hayo ya mgogoro wa muda mrefu, na nani alinunua Kiwanja yeye yanamhusu vipi? Anafahsmu nani alitoa hizo hela za kununuliwa Kiwanja? Mbona amejipa mamlaka ambayo hana?
Love blindsna ninashangaa kwamba Kweka ambaye ni mmachame alishindwaje kujua namna ya kudeal na hii issue ya kugombania mali za ndoa na hasa ukizingatia mkewe naye ni mchagga kwa hiyo alijua kabisa kabla hata hawajaoana juu ya msimamo wa mali kwa kuzingatia historia ya kabila lao ambayo ipo mamia ya miaka.
Power of attorney bro,nimeona nyumba mbili magomeni ziliuzwa na shangazi na mjomba, watoto hawakupata kitu,moja hapo barabarani mwembechai,yaani hujumu ilivyotoka tu asubuhi mnunuzi akaja kubomoa saa saba mchanaunakopea je umiliki unasoma wa nani?
hapana babanguuuu kweka kafanya kitu cha hofyo kabisa.... R.I.P JaneKidogo tu.Muwe wafumiliii...wafumilifu kweli!
Such young fellas on their death wishes! Walikuwa wadogo kiumri na wote wakafa! Masikini!Mambo ya mwanza miscall 100 na yule mfanyabiashara mkubwa wa samaki aliuwa mke naye akajimaliza mwanza huko,hii dunia uwanja wa fujo
Ova
ukweli haujasemwa wengi wameishia kwenye udaku tu. only real men can understand this dude
Ni somo kwetu sote.hapana babanguuuu kweka kafanya kitu cha hofyo kabisa.... R.I.P Jane
Wanawake siku hizi somo la 'wanawake tunaweza,haki za mwanamke' limewaingia vizuri,tangu huo ujinga uje ndoa zimekua shida,mtu ana mission zake tofauti ndani ya ndoaNaijua ipo ila nachojaribu kuwaza ni kuwa shida ni nn kusema hiki changu hiki changu na ninyi ni wanandoa ? Na mna watoto tuangalie hapa watoto wale sjui km wapo sekondar wameshauvaa umaskini tyr
Upo sahihi na ndiyo tukiangalia hapa house girl anasema juu juu tuu lkn story kamili wanandoa ndiyo wanajua ama ikiwa waliwah washirikisha watu wa karibu nje ya hapo tutamlaimu kweka mara Jane ilihali hatujui chanzo kikuu mpaka wakafikia hapoNi sawa lkn zamani mama zetu walipenda kweli, waliteseka wakavumilia mwisho watt ndo wakateseka
This era wanawake hawataki kuishi maisha waliyoishi mama zao....
Ila huyo mwanaume akili hana
Jela watamuelewa tu,watampa tanoHuyu mwamba huko jela watamuwekea kikao,aise unaingiaje kwa kesi ya kuua mke bana
Ova
Hapo umesemaWanawake siku hizi somo la 'wanawake tunaweza,haki za mwanamke' limewaingia vizuri,tangu huo ujinga uje ndoa zimekua shida,mtu ana mission zake tofauti ndani ya ndoa
Anunue kiwanja halafu asiandike jina lake?Kama alinunua kiwanja na kujenga kwa hela yake basi huyo mwanaume katuaibisha wanaum.
πππAkili mtu wanguWe jamaa lisisiemu umenichekesha sana! ππππ