Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

You were a bit in hurry,boss!Haujamaliza kuelezea.
 
Haya vijana mliooa mjifunze hio nyumba sasa ni ya mkeo jenga nyingine usije kuua mle akikuacha.
 
Tuache ushabiki, wanaojua ukweli ni wao wenyewe.
Inawezekana marehemu kweli alinunua kiwanja lakini mwanaume ndiye aliyejenga nyumba.
Jiulize ilikuwaje hati iwe kwa jina la mme?
Kuna mchezaji wa yanga wa zamani alirubuniwa kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mkwe wake lakini baadae wakamfukuza.
 
Mtu ameshika Bunduki na anakwambia ameshamaliza kazi wewe unapata moyo wa kwenda hata chumbani kuchungulia badala ukimbie? Hajui kama mtu aliyeua anakuwa kama Chuo Roho ya Simba?
 
exactly kweka bure kabisa huyo jamaa angeenda kwa wajuba wangempa code na angetoboa mapema kwenye hii issue. Sasa kinachofuata hapo ni kutoa mamilion kuweka Advocate, kuhonga mahakamani, kukaa jela miaka kibao huku watoto wake wakiteseka, na Kweka ana kisukari so anaweza kufia jela maana akiwa huko hatokuwa anapata proper treatment ya kisukari+mawazo sonona kujiona ana hatia. Halaf nyumba yenyewe alyokuwa anagombania ni nyumba ya kawaida sana ambayo kwa kuwa amezaa na huyo mwanamke angeachana nayo maana ni urithi kwa watoto wake na kukubali kutafuta nyingine ila shida aliweka matumaini yake yooooote hapo.
 
Siku hizi mwanamke popote pale, iwe ustawi wa jamii, kwa balozi, polisi dawati la jinsia au mahakamani, anapewa kipaumbele. Lazima watakubinya tuu mwanaume ukifika maeneo hayo. Lazima mwanamke ataangaliwa kisheria na kiutaratibu.
Ndoa inahitaji akili kuliko nguvu
Huyu jamaa badala ya kutatua tatizo ameongeza tatizo

Ova
 
Sema wanawake bwana mda mwingine wanatuvuruga sana, yaani wamehamia kwenye nyumba mwaka jana tu disemba hata mwaka hawajamaliza ila tayari mwanamke anataka hati ya nyumba na kiwanja majina yabadilishwe yaandikwe yake. So sad
Hapo wamewahiana Tu lakini hata huyo Mke angemuua.

Kibongo bongo mtu mwenye Uwezo wa kumiliki Bunduki ni mtu mwenye ukwasi au mtu wa system au mtu wa wasiojulikana ambaye hata serikali haikupi, yayumukinika ni mtu mwenye pesa
 
Huyu mwamba huko jela watamuwekea kikao,aise unaingiaje kwa kesi ya kuua mke bana

Ova

Mahabusu au jela kuna ile mida ya kupiga stori, na kupanga mipango ya kesi. Watu mle wanakusikiliza ili wakupange namna ya kujieleza mbele ya mahakama au namna gani utachomoa pini.
Jamaa akianza kueleza hiki kisa wenzie watamuona hamnazo. 😊
 
Amejisalimisha! Ila madhara ya kesi ya mauji hayajui!
Hapo hana tena nyumba,ni maskini kuliko wasio na nyumba,watoto ni yatima sasa! Akirudi kutoka magereza ni mwaka 2050 hana meno wala haoni
Sio bongo hawpa, bunju unapajua au Una paskia? Simu moja tu
 
Mahabusu au jela kuna ile mida ya kupiga stori, na kupanga mipango ya kesi. Watu mle wanakusikiliza ili wakupange namna ya kujieleza mbele ya mahakama au namna gani utachomoa pini.
Jamaa akianza kueleza hiki kisa wenzie watamuona hamnazo. 😊
Kabisa

Ova
 
Sikia binti, ili upate hati ya ardhi unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo. Uthibitisho kutoka serikali za mitaa wa umiliki wa eneo,Eneo lipimwe na mpimaji anaetambulika na wizara + viambata vingine
Ndio maana yake kuwa yawezekana alikuwa navyo vyote hati ya kimila/barua ya mauziano yenye majina yake. “yawezekana” katika process za kupata hati tayari wameshakua mwili mmoja, “labda” mume akawa anafuatilia kwa makubaliano yao akaweka majina yake na halikuwa tatizo kipindi mapenzi yako moto na ndoa haina migogoro (michepuko)
 
Kibongo bongo mtu mwenye Uwezo wa kumiliki Bunduki ni mtu mwenye ukwasi au mtu wa system au mtu wa wasiojulikana ambaye hata serikali haikupi, yayumukinika ni mtu mwenye pesa
Ilikuwa zamani now a days zinapatikana tu sema inachukua siku kadhaa mpaka uwe nayo mkononi.
 
Siwafahamu kiundani...
Basi si vyema kutoa hukumu ya pamoja hasa kwenye mambo yanayowahusu watu ambao huwafahamu kwa kuegemea taarifa za mitandaoni!!!

Siungi mkono mauaji lakini mimi na wewe hatujui ndugu amekumbana na kadhia gani iliyomsukuma hadi kwenye ukomo wa uvumilivu hata kufikia maamuzi hayo!!

DUNIA SIO MBAYA WALIMWENGU NDIO WABAYA
 
Na baadaye akaamua kumtafuta mwanasheria kabsa kutaka kudai talaka 😔
 
Hakuna hati ya Kimora Dar es Salaam wewe.Kuna sehem utasikia alikua anatafuta mwenyekiti serikali za mitaa andike majina yake na watoto na yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…