Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Hapo ulipo una smartphone tu mzee! Kirahisi namna hiyo?
Ni ngumu sana mkuu.

Lakini ni kipi chenye hekima zaidi kupigana mpaka hasira zikufikishe kwenye hatua ya kuharibu maisha yako na ya mwingine, au kuondoka na kile ulicho nacho, kisha ujenge upya?

Hakuna ugomvi unaostahili kuwa kaburi la mtu au gereza la maisha yako.


Mali inaweza kupatikana tena. Look anafungwa maisha nyuma akiwa kaacha maiti ya mke na watoto wasio na wazazi.
 
Hivi lazma kuoa?!
Basi nashauri itokewe elimu vizuri ya prenup aggreements(mkataba wa namna mali zikae kabla ya kufunga ndoa) kuliko hivi kuishi mnachungamilana!
 
Sasa inakuwaje walikuwa na migogoro ya muda mrefu lakini wanawatoto wadogo na wengine hawajaanza shule au pengine kuna watoto siyo wa huyo jamaa ?
Nadhani kuwa na migogoro sio sababu ya maisha mengine kuacha kuendelea, ww ukiwaona wanandoa wazee bado wapo pamoja unadhani hapajawahi kuwa na migogoro kati yao?
N bc tuu tunazungumzia hii ya hawa mana ndo tupo nayo kama trending this time
 
Huna guts za kunambia niandike kwa ufasaha.Kuna shida gani nilitumia hati ya manunuzi?
Nimekueleza neno hati na neno mkataba ni vitu viwili tofauti

Unaponunua unapewa mkataba(makubaliano ya mlichouziana) na si hati. Hati huja baada ya mkataba
Hapo nina Imani umeelewa
 
Kuna hasira kali ya kawaida na ya tatizo la akili, kuna jamii zinaonyesha hasira wazi na kuna jamii wanaficha hasira , mfano kwetu wakibosho wanaonekana kuonyesha hasira kuliko jamii nyingine za kichaga
 
taratibu za kumiliki silaha zipitiwe upya, huwezi mtishia mtu chuma namna hii alafu ukaachwa kuendelea kumiliki chuma
Hata zipitiwe mara Milioni kama Polisi hawa hawa ndio wanahusika na enforcement ya sheria hizo ni silly hole.

Hapo ni either kufumua jeshi hilo au katiba mpya ambayo ndo mama wa sheria zote.

usikute kila aliporipotiwa ametoa vitisho alikuwa anamwachia OCD buku ten ambazo total ni kama 60k au 100K na ndo zimekuja acha majanga. If police would take action accordingly tusingefikia Jane leo angekuwa ametoka Kanisani na watoto wake.

Polisi ni chanzo cha majanga mengi mno ni vioe tu mengi ni indirect.
 
Msitudanganye,hakuna mwanaume wa kichaga akubali kuoa au kuishi kwenye kiwanja na nyumba aliojenga mwanamke,nasema hakuna,huyo jamaa atakuwa na mchango mkubwa sana hapo,ingekuwa wanaume wa Dar ningukubali...
 
Kuna hasira kali ya kawaida na ya tatizo la akili, kuna jamii zinaonyesha hasira wazi na kuna jamii wanaficha hasira , mfano kwetu wakibosho wanaonekana kuonyesha hasira kuliko jamii nyingine za kichaga

Hiyo ni asili sasa. Yapo pia makabila yenye asili hiyo wakiwemo wakurya na wamasai kwa kiasi fulani.
 
Cjui n kwann wengi mnamuona mwanamume ndio mbaya kisa maneno ya dada wa kazi ambayo pia hayajanyooka kuhusu nani amejenga hiyo nyumba.

Wakuu, mnawezaje hivyo?
Kwahiyo mbaga unahisi jamaa yupo sahihi kuua ?

Watu wengi huona big picture ya ndoa wakiwa nje, lakini hawajui kinachoendelea ndani ya nyumba.

Kuna familia zinazopitia migogoro isiyokwisha, lakini bado wazazi wanajaribu kulinda ustawi na malezi ya watoto wao.


kama kila mtu angefikia hatua ya kuachilia hasira zake, kuonyesha maumivu yake kwa nguvu, na kuchukua silaha kila anapohisi amesalitiwa au kuvunjwa moyo tungekuwa na maisha mangapi yaliyopotea?

mpaka hapo jamaa ni mbaya tangu zamani. Huwez kuua mke wako kwa kigezo cha kugombania mali.

Hakika mkuu roho ya uuaji ni inside character sio adaptable behavior.
 
Kwahiyo mbaga unahisi jamaa yupo sahihi kuua ?
Yes yupo sahihi, mtu kufikia hapo ujue sio kwa bahati mbaya.

Kuna mambo mengi mno nyuma yake ambayo amekuwa akiyavumilia ila Siku hiyo akasema hapana, ngoja tukose wote.
 
Hahaha. Sasa sisi tuliosomesha wake na wachumba zetu ambao bado hawajaliamsha li "kazeze" na bado wapo "very loyal" tufanyeje mkuu? Tununue bastola kwa tahadhari? Halafu hujagusia kuhusu huyo mdada wa kazi anaonekana anajua sana mambo ya ndani ya mabosi wake.
 
Msitudanganye,hakuna mwanaume wa kichaga akubali kuoa au kuishi kwenye kiwanja na nyumba aliojenga mwanamke,nasema hakuna,huyo jamaa atakuwa na mchango mkubwa sana hapo,ingekuwa wanaume wa Dar ningukubali...
Tengeneza fact mkuu acha mambo ya fallacy of generations umefikiaje hilo hitimisho la hakuna ?
 
ukisema vya uvamizi manake kuna wenye hati za mwanzo? na hata kama mke alinunua hati ipo wapi mana kama angalikuwa anafwata sheria wala haya yasinge mkuta endapo kama alistahili kudai icho mnacho mlinda nacho kuhusu umiliki wa awali.
Wakati wa Kikwete kulitokea watu kuvamia maeneo ya wazi yaliyokaa muda mrefu bila kuendelezwa ya wamiliki wasiokuwa na hati zinazojulikana so wakagawana gawana wachache wenye nguvu walifanikiwa kuyarudisha ile wengi walipoteza.

Ndiyo nikasema huyo marehemu kama kweli alipanunua kwenye wimbi hilo la uvamizi mume akajenga nyumba ya thamani kubwa kwanini yasitokee yaliyotokea?
 
Yes yupo sahihi, mtu kufikia hapo ujue sio kwa bahati mbaya.

Kuna mambo mengi mno nyuma yake ambayo amekuwa akiyavumilia ila Siku hiyo akasema hapana, ngoja tukose wote.
Kaka mbaga jr hakuna kosa lolote ambalo ni la msingi kiasi cha kulitatua kwa kuondoa uhai wa mtu.

Hata kosa liwe kubwa kiasi gani, uhai bado unathamani.


Pumzi hailinganishwi na kitu chochote.


Jamaa anaenda kufia nyuma ya nondo sasa kipi bora hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…