Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Ugomvi wa masikini bhana , utasikia nyumba viwanja…. Husikii bonds na investment za maana

Ni nyumba kiwanja… huo ndio ugomvi wa watu masikini

Btw, mwanaume hajakuzwa vema ….mwanamke anakuja ndani kila siku anavua chupi unahangaika nae wa nini

Mpe go ahead ….. akabadili hizo hati anazotaka…. Kuishi na wanawake ni psychologie tu …..utamwambia sawa nenda kabadili Leta karatasi nitasaini….. next month atakufuata baby nimeghairi tulee tu watoto mimi na wewe ni kitu kimoja… hao ndio wanawake

Ni akili ndogo sana mwaname kupigania nyumba….. mwanaume anapigania investment. Bond za BOT, company shares …. Sio nyumba unayoweza kujenga in 3 months ukiamua

Ona sasa jamaa kashaharibu familia yote ; na kuiweka familia kwenye headline un neccesary….. ni mambo ya hovyo sana kwa mtoto wa kiume

kugombania vitu vidogo vidogo kama nyumba na viwanja….. What a shame kiwanja chenyewe kipo Bunju maana bora kingekuwa Masaki , Osterbay tungeweza kuelewa….. sasa Bunju kweli aaaagh , poor mind.

Familia imeshaharibika kwa jamaa kujikuta mwamba

Mwanamke unaemvua chupi na kumfokoa as much as you want hata akiwa period unapata nae shida ya nini !

Watoto 4 kakuzalia unapata nae shida ya nini ….. mwambie mama nenda kabadili …. Please go ahead i will support you … hao ndio watoto wa mjini…..

Jamaa atakuwa mshamba sana yani , and prety sure jamaa ni wakuja… hajazaliwa Dar

Naendelea kusema tena Tatizo la afya ya akili ni kubwa ….. Moja ya symptoms kubwa ya afya ya akili ni mtu kukosa tolerance kwenye petit issues , reaction ni inversely proportion na stimulant

Familia imeshaharibika… nyumba haifai tena maana damu ya marehemu imemwagika madhuluma

Ila kuna wanaume wana akili ndogo sana …. Huwa naamini hawa jamaa wanakuwaga ni vichaa lakini with hidden symptoms kiasi hata wao wenyewe hawajui . Leo hii ukimuuliza Kiranga mbona huwa una overreact kwenye minor issue ….. yeye hawezi kuwa na jibu …. It is all about hidden symptoms za mental issues … mtu kama huyu akisikia Kaua usishangae…. Aliwahi hadi kumpiga mwanamke eti kisa alimuonesha dharau … kama ameweza kupiga kwa hasira….. kwanini asiweze kuua kwa hasira
Shame
 
Tena wewe ujiandae, mkeo akijua ni mzinzi na una mtoto haramu nje, atakuua kwa sumu, ukae kimasta, mie nakusanua tu.
😂😂😂😂
Hizo ndo za Ke wengi kwa kipindi kirefu. Majuzi kati walijaribu kuborsha kwa kutummia magunia ya mkaa na petroli lakini waliona ni gharam kubwa wakrudi kule-kule. Kwa Ke imezoeleka tangu enzi; ni kumalizana papo kwa papo (Huko umangini)
 
Amejisalimisha! Ila madhara ya kesi ya mauji hayajui!
Hapo hana tena nyumba,ni maskini kuliko wasio na nyumba,watoto ni yatima sasa! Akirudi kutoka magereza ni mwaka 2050 hana meno wala haoni
Wanasema alienda Moshi 2 months… aliporudi ndio akaua

Itakuwa jamaa ni mtu wa maskani uswazi … huko ndio wanatiana ujinga

Nadhan jamaa hajajua impact ya alichokifanya….. hata ajisalimisha outcome ya alichokifanya haihepukiki

Jamaa ameshapotea ! Usikute hata Silaha hamiliki
Kihalali

He did not think well , alipaswa kwenda kwenye drawing board zaidi ya mara 3 before decisions
 
Tuishi nao kwa akili
Inawezekana mke ndio mwenye shida
Nje ya mali, inawezekana mke alikuwa na uhusiano wa pembeni (watu wa kumkingia kifua-me)
Watu wa kumkingia kifua dhidi ya mashambulizi kutoka kwa Me. Inawezekana pia kulikuwa na njama za kumEliminate Me. Me alipogundua hilo ikabidi a act fast. Inakuwaje udhulumiwe halali yako(Papuchi) halafu tena hata kiwanja?? Mangi akasema "Hilo halikubaliki meeku. Chesa na mimi, acha kuchesa na mali zangu arawa."
 
Hakuna cha kujua ukweli …. Hana justification yoyote ya kuua …..

Mwanaume hata kama unamfumania mke wako analiwa….. a reall man will stay back

Hakuna chochote ambacho justification yake ni kuua
 
Kwanini mwamba hakuporwa bastola wakati alishamtishia na ripoti ilifika polisi?
Hili ni Swali la msingi na lina translate udhaifu wa polisi… polisi ni reactive yani wanasubiri tukio litokee ndio uwaone

They are not proactive

Utapeleka malalamiko yako weee no one will bother until you are dead

Shame
 
Kama yeye ndo alinunua kwanini hakuweka majina yake toka mwanzo?
Itakuwa walipoanza kujenga wakaongeza jina la mwanaume

Mwisho wa siku mwanamke akaanza kuona jamaa kama kapata dezo… hii inaweza kuwa ndani yake lazima kutakuwa na mambo ya trust issues mostly mwanaume alikuwa ana cheat hivyo mwanamke akaona ujinga huu ni bora adai chake
 
Wanasema alienda Moshi 2 months… aliporudi ndio akaua
I.e Inawezekana kutokea huko Kuna ushauri alipewa.
Itakuwa jamaa ni mtu wa maskani uswazi … huko ndio wanatiana ujinga
This is questionable. Eneo la tukio na Ile nyumba na mzingira hayafanani na ya Uswazi.
Nadhan jamaa hajajua impact ya alichokifanya….. hata ajisalimisha outcome ya alichokifanya haihepukiki
Anajua fika. Yeye sio wa kwanza kutenda kosa hilo. Matokeo huwa ni yaleyale toka enzi na enzi - Auaye kwa Upanga naye ataangamizwa kwa upanga. Hilo lipo hata kwenye vitabu vitakatifu.
Jamaa ameshapotea ! Usikute hata Silaha hamiliki
Kihalali
Kwani Alipokwenda kujisalimisha Polisi, si lazima aliulizwa silaha aliyotumia iko wapi??
He did not think well , alipaswa kwenda kwenye drawing board zaidi ya mara 3 before decisions
Ni Wamangi wachache sana wanaokwenda kuuliza drawing board.
 
Hii taarifa inanuka opotoshaji unawezaje kumiliki silaha ikiwa huna mali unazomiliki. Jamii inapikwa hapa ili ionekane jamaa ndio kazingua na kumtetea mwanamke ambaye ndiye chanzo, we are cooked.
 
Hicho alichopata au kingine?
 
Hii taarifa inanuka opotoshaji unawezaje kumiliki silaha ikiwa huna mali unazomiliki. Jamii inapikwa hapa ili ionekane jamaa ndio kazingua na kumtetea mwanamke amhaye ndiye chanzo
🤣we jamaa bhana
 
Inawezekana kabisa nyumba isiwe kisababishi kikuu; kisababishi kinacho pandisha hasira mpaka kuua inawezekana ni kuliwa mkeo na mke kumpa kipaumbele mchepuko​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…