Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Ahsante kwa mchango wako.
Tunaomba picha ya ajali yake mkuu
 
Wakuu kweli hiyo ajali ilitokea kama sikosei juzi alfajiri karibu na nanenane stand kuu(njia panda ya kuelekea nzuguni) ilihusisha gari kama sio harrier ni vanguard ambayo ilikua na kachuma ka bendera nadhani ndo ilikua ya mh mbunge pamoja na costa na gari nyingine moja na yaliharibika sana(nilipita yakiwa yanatolewa na breakdown) sikujua kama ndo iyo ajali au vip ila kweli ilitokea na kama ndo yenyewe sijui kwann haikutangazwa.
 
KARIBU MTAKUWA VICHAA YAANI SERIKALI ITOE TAARIFA YA UONGO KUWAFURAHISHA VICHAA KAMA WEWE KAMA HUKUPATA HABARI NI WEWE NA KAMA HUAMINI NENDA KAMUULIZE MKE WAKE NA WABUNGE WENZIE MUWE NA AKILI HATA ZA KUPANGA POST
 
Tunakushukuru kama ni kweli , sasa kigugumizi cha wakubwa kinatoka wapi ?
 
Yaani hata wenzake wa Mjengoni nao walikuwa hawana taarifa?
 
KARIBU MTAKUWA VICHAA YAANI SERIKALI ITOE TAARIFA YA UONGO KUWAFURAHISHA VICHAA KAMA WEWE KAMA HUKUPATA HABARI NI WEWE NA KAMA HUAMINI NENDA KAMUULIZE MKE WAKE NA WABUNGE WENZIE MUWE NA AKILI HATA ZA KUPANGA POST
Mkuu nashukuru kwa mchango wako.
Naomba picha ya ajali yake
 
Umeambiwa ajali imetokea eneo la Nane Nane kwa mujibu wa spika Ndugai.

Uwe unaelewa bwashee!
 
Sasa roho zetu zitatulia.......ngoja tumtoe kwenye orodha ya waliokufa na corona.......
 
Huwa nikiona majina ya ajabu ajabu hiku jf siku hizi wala siumizi kichwa,najua kabisa kinachofuata ni utopolo+ na huyu ni Njalaliko mmoja wao huyu
Mimi sikuelewi unataka kusema nini mkuu!
.
Mambo mengine hebu tuwe tunajaribu kupuuzia tu jamani, sio kila jambo tulitafutie kasoro. Watu makini hawawi namna hii [emoji1666]
 
Inakuwa kama ya Mbowe aliyeanguka kwa ulevi wakasingiziwa green guard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…