mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ajali zote lazima zipigwe picha?Ahsante kwa mchango wako.
Tunaomba picha ya ajali yake mkuu
NENDA POLISI TRAFFIC DODOMA WATAKUPAMkuu nashukuru kwa mchango wako.
Naomba picha ya ajali yake
Kwani ajali zote lazima zipigwe picha?Ahsante kwa mchango wako.
Tunaomba picha ya ajali yake mkuu
HATA KAMA UNA MATOPE KICHWANI MUWE MNAFIKIRI HATA KIDOGO SERIKALI ISEME NI AJALI WAKATI MTU HAJAPATA AJALI NDUGU WAPO WABUNGE WAPO JAMII ILIYOSHUHUDIA HIYO AJALI PALE NANENANE WOTE WAKUBALI UONGO UNAOUTAKA KWELI KAMA NI UJINGA USIJIANIKE KUTUDHIHIRISHIA UJINGA WAKO WAKONi Covid tu hapo.
Ajali ni kufunika kombe tu.
Mheshimiwa atakuwa alipata changamoto fulani ya upumuaji.
Utapuuziaje jambo kama hili?Mimi sikuelewi unataka kusema nini mkuu!
.
Mambo mengine hebu tuwe tunajaribu kupuuzia tu jamani, sio kila jambo tulitafutie kasoro. Watu makini hawawi namna hii [emoji1666]
Hivi ikitokea Kiongozi Mkubwa kwenye Mhimili wa kutunga Sheria akadanganya Umma kwa lengo la kuficha au kupindisha ukweli adhabu yake ni nn Kisheria??
Haiwezekani kiongozi wa umma anapata ajali halafu wananchi hawapewi taarifa , hii nchi inao wenyewe ambao ni sisi wananchi , hapa ni lazima Spika Ndugai na wenzake watoe maelezo ya kutosha ili waeleweke , au la tuambiwe ajali ya Nditiye ni ya kuanguka bafuni ambako si rahisi watu kuona , lakini vinginevyo hakuna ajali yoyote ya barabarani ambayo ni ya siri .
Juzi Katibu Tawala wa Arusha amefariki kwa ajali lakini tumeonyeshwa hadi gari alilopata nalo ajali lilivyoharibika , na tukaelezwa alikuwa anatoka wapi na kuelekea wapi , huyu mnayetaka kuficha ajali yake ametenda kosa gani ?
Rais wa Tanzania Dr Magufuli aliwahi kusema kwamba Watanzania siyo Wajinga sana .
Tuambiwe ukweli ili tuelewe
Ajali ya kupumuaHaiwezekani kiongozi wa umma anapata ajali halafu wananchi hawapewi taarifa , hii nchi inao wenyewe ambao ni sisi wananchi , hapa ni lazima Spika Ndugai na wenzake watoe maelezo ya kutosha ili waeleweke , au la tuambiwe ajali ya Nditiye ni ya kuanguka bafuni ambako si rahisi watu kuona , lakini vinginevyo hakuna ajali yoyote ya barabarani ambayo ni ya siri .
Juzi Katibu Tawala wa Arusha amefariki kwa ajali lakini tumeonyeshwa hadi gari alilopata nalo ajali lilivyoharibika , na tukaelezwa alikuwa anatoka wapi na kuelekea wapi , huyu mnayetaka kuficha ajali yake ametenda kosa gani ?
Rais wa Tanzania Dr Magufuli aliwahi kusema kwamba Watanzania siyo Wajinga sana .
Tuambiwe ukweli ili tuelewe
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]Samahani kidogo,hivi tulikuwa na uchaguzi uliotupa Raisi ?Mimi mpaka sasa sina Raisi wala mbunge.
Tukirudi kwenye mada, hii move wameicheza vibaya(wameiboronga).
Hili swali muulize Ndugai.Habari za jioni wakuu
Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali..
Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha ukweli?
Hivi inawezekanaje Mbunge na Naibu waziri wa zamani apate ajali alazwe siku mbili tena katikati ya jiji la Dodoma halafu habari zake zisisambae wakati RAS tu wa ARUSHA zilisambaa within a second
Mwenye angalau picha ya ajali yake aweke hapa.
Haiwezekani mtu mkubwa kama yule apate ajali halafu asiwepo wa kujua
Habari za jioni wakuu