Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

Vita ni vita , tena wale Taliban hata Ant tank hawana lakini miaka 20 yule US hakuna alichofanya
Huyo Mrusi alipovamia na mercenaries wake na kumuua rais WA Afghanistan miaka hiyo then anapigana na Mujahedeens alikaa miaka mingapi hapo na alifanikisha nini ? , Mpuuzi mmoja usiyejua hata history
 
Wanatia kinyaa hawa madogo hawa , viazi Sana ,akili zero
 
Huko kote mbali sana mfano mdogo upo Syria USA na washirika wake NATO walipo ivamia Syria, Russia tu peke yake Alivyotia maguu mpaka Leo wamesanda [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamaa kauliza swali badala ya kujibiwa, ndo kwanza nae anaulizwa eti tukikosa dola, tukikosa soda, tukikosa middle, tukikosa........... jibuni swali " marekani akipigwa ban za kutosha kama urusi anaweza kushinda vita?
[emoji16][emoji16][emoji16] imagine baadhi ya watu humu ni narrow mind
 
Huko kote mbali sana mfano mdogo upo Syria USA na washirika wake NATO walipo ivamia Syria, Russia tu peke yake Alivyotia maguu mpaka Leo wamesanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Daah! Aaaaaiiiseee 🤐
 
Kama kuna mtu atabisha hapa atakuwa ni mwehu sasa
 
Tofautisha vita inayopiganwa Ukraine na vita ya kumeza bomu unavizia kwenda kujilipua. Kilichokuwa kinatokea Afghanistan siyo vita Kama inayoendelea Ukraine.
Hawaelewagi hao vijana, hawatumii akili.
 
Watu ukiwaambia china uchumi wake umeshikwa na US na Ulaya wanaona kama vile ni uongo ila huu ndio ukweli. China hawezi kupasua kiuchumi bila kumtegemea US.
 
Hawezi kutoa jibu la kueleweka hapa.
 
Jamaa kauliza swali badala ya kujibiwa, ndo kwanza nae anaulizwa eti tukikosa dola, tukikosa soda, tukikosa middle, tukikosa........... jibuni swali " marekani akipigwa ban za kutosha kama urusi anaweza kushinda vita?
Apigwe ban na nani?
 
Comment bora kabisa ya huu uzi.
 
Umeshaambiwa ikitokea ikawa hivyo.. Duuh mbona mnakuwa vilaza hivi
Haiwezi kutokea ikawa hivyo,ndiyo maana wanakupa uhalisia kwakuwa ni kitu hakiwezekani US kuwekewa vikwazo.Kwanini tuanze kujadili kitu ambacho haiwezekani kikaja kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…