Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Kuna mdau nimeona hapo juu amezungumzia jaribio hili Kwa D. Trump Kwa tafsiri mbili.

Moja, anasema huenda ni Planned ili kumuongezea Mileage za kiSiasa Bwana D. Trump

Pili, anasema huenda umetumwa Ujumbe kwamba Wamarekani hawamtaki ashinde kwenye huu Uchaguzi na anatakiwa ajitoe mara moja kushiriki vinginevyo watamuondoa kupitia Kifo.

Ukitafakari hizo sababu mbili ni kama Zina Mashiko, japo sababu ya Kwanza ni kama ina Mashiko zaidi.

Huenda Kwa tukio hili D. Trump anaweza kuongeza kura nyingi za huruma kutoka Kwa Wamarekani wengi huku wengi wakiongeza chuki Kwa Rais aliyepo madarakani kwamba huenda amehusika kwenye hilo jaribio.

All in all tusubiri taarifa kamili ya uchunguzi wa tukio hili zima.
 
Lissu system tactics, kujipiga risasi!,
N. B, Mlenga shabaha mwenye good lensed gun anaweza kukosea na kumkosa tuwe seriously!, mlengaji ametaka kuligusa sikio tu litoe damu!
 
 

Haya mambo yakifanywa na CCM unawezakutolea maelezo lakini yanapofanyika US inatafakarisha sana.

Hii inaashiria zoezi zima la uchaguzi litaghubikwa na mizengwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…