Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Tunapoelekea ulinzi wa viongozi wengi duniani utakuwa mdogo sana maana maarifa yameongezeka na watu wamebadilika sana mfano tukio kama hili huenda kukawa na watu kadhaa kwenye circle ya ulinzi wamehusika
Ni kweli kabisa secret service wamechelewa mno kufika kama sio Juhudi za trump mwenyewe kuinama huenda angekula risasi au kama muuaji angetumia kilipuzi kikubwa zaidi huenda madhara yangekuwa makubwa
Lakini namna ameondoka ilikuwa kama wanafanya jaribio la kuokoa mbishi hata kuinama ndani ya shield ye anatoa mkono awe che Guevara
 
Huko kwenye ulinzi wenye weledi mtu anashambuliwaje!
 
But wamejitahidi pia
 
Unazingua sana yaani!
Yaani MZALENDO HAMZA unamuita muuaji?
 
Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Hayo matusi yako wapi unweza kuwa uliambiwa ukweli ukageuza tusi
 
Ulitaka wafike faster kabla ya risasi? Yaani washindane mbio na risasi? Tafsiri yako kuhusu ulinzi mkali ni ipi? Au kwako ulinzi mkali ni ramli?
 
Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Trump aliusema ukweli mchungu kuhusu nchi zetu...a..h..prove him wrong ..
 
Hawawezi kumshinda kwa kura!

Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.

Sasa wanataka kumuua!

Democraps.
Sidhani kama ni Democrats, its the Military Industrial complex.
Trump ameshasema akiingia madarakani Ukraine war kwisha.
Wafanyabiashara wa silaha hawataki hilo.
 
Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Ukweli ni kwamba hakuna muafrika aliyemchukia Trump sababu ya kauli zake za ukweli kuhusus waafrika
 
Chadema wao wanasemaje? Au ni CCM wamehusika? 😆😆😆😆😆😆

Ndio maana Huwa nasema Katiba Mpya hazirakaa ziwasaidie Kwa lolote,ni wajinga ndio watashiboka na Katiba Mpya zisizo na maana kwenye maisha Yao ila kwenye maisha ya Wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…