Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Hawa ni kama akina mwashamba wa USA no wonder. Biden akisema hagombei wanabadilika wote. Trump akishinda wanaenda naye.
Mwashamba no offense just example
Marekani hakuna chawa, Raia wamegawanyika katika misimamo ya Republicans na Democrats, wachache ndio independents. Hawa ambao hawamtaki Trump hata akishinda hawatamuunga mkono.
 
Kama akinusurika na hili shambulio, naona akienda kupata kura za huruma kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Kupitia hili tukio, niseme wamempiga chura teke bila kujua wanamuongezea mwendo.
Wanasiasa wa Marekani wanawaiga wanasiasa wa Kiafrika. Trump get well soon.
 
Huenda ni tukio la kughushi
 
Sidhani. Si umeona huko waliomshamshambulia wamepatikana tayari, Vipi waliomshambulia Tundu Lissu?

Kuhusu kuwahi kumdhibiti mshambulizi ni jambo la kupongeza.
Maana jambo kama hilo huwa gumu barani mwetu.
Lakini angalau na wao wameanza kuchezea kura na kupindisha matokeo.
Rejea malalamiko ya Trump kwenye uchaguzi uliopita. Na hata uchaguzi uliompa ushindi George Walker Bush dhidi ya Al Gore mwaka 2000.
Sasa baada ya kutengeneza kila aina ya kesi dhidi yake ili kumuondoa kwenye uchaguzi kushindwa wamemchapa risasi.
Matukio ya aina hiyo yamekuwa yakilalamikiwa na taifa hilo dhidi ya mataifa mengine ikiwemo Tanzania, sasa tunayaona kwao.
Ni aibu kubwa kwao.
 
Hii ni michezo tu sawa na ule wa Area C.
Ipo hivi ukitumwa ukatoe uhai wa kiongozi nyuma yako pana watu wamepangwa kutoa uhai wako baada ya mission ili kuficha ushahidi kwani ukiacha hai utatema siri so unalaghaiwa kwa kulipwa pesa za kazi zote nyingi ili ujae baada ya kuuliwa pesa inarudishwa.
Thus hizi mission ni wapumbavu pekee ndio huwa wanatumwa.
Sawa na ile ya Area C wengi walimalizwa baada ya mission wakakosa vyote.
 
ngoja nikuweke kwenye list mrembo.
 
Hii ni michezo tu sawa na ule wa Area C.
Ipo hivi ukitumwa ukatoe uhai wa kiongozi nyuma yako pana watu wamepangwa kutoa uhai wako baada ya mission ili kuficha ushahidi kwani ukiacha hai utatema siri so unalaghaiwa kwa kulipwa pesa za kazi zote nyingi ili ujae baada ya kuuliwa pesa inarudishwa.
Thus hizi mission ni wapumbavu pekee ndio huwa wanatumwa.
Sawa na ile ya Area C wengi walimalizwa baada ya mission wakakosa vyote.
 
Hizo risasi 30 alipigwa sehemu gn ya mwili? Imagine angepigwa kichwani au kifuani ungesemaje
Hiyo kichwani au kifuani ndio imefeli Sasa. Kwa nini ukimshambulia mtu kwa Risasi kwa namna hiyo unapewa kesi ya kudhuru mwili na kujaribu kuua!? Kwa nini usiachwe TU Wakati ulikuwa unajaribu kumtisha TU!?
 
First Ladies wakiwa mbele safu ya ulinzi wa rais..Hatari sana
 
Proactive vs active
 
Nilikua simpendi Trump nikimuona kama mbaguzi sana
Iyo ndio character ya wazungu wote ila tu Trump yeye sio mnafiki tofauti na hao wengine wanaoigiza kutupenda kumbe wanatulainisha tu watutumie masilahi yao tu. Kuna hotuba fulani ya kaburu botha enzi za ubaguzi wa rangi uko sauzi nishawahi kuisoma kama ni kweli basi jamaa alituchana ukweli live tunamuandama tu kwa sababu hatupendi kuambiwa ukweli.
 
Haya video zimeshaanza kutoka

Video ya sniper upande wa trump akimpiga mtuhumiwa baada ya kumjeruhi Trump
Your browser is not able to display this video.



Video ya mtuhumiwa akiwa amekuga
Your browser is not able to display this video.



Swali 👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…