James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Inakuwaje mbwa, cactus na dead people wanachukua nafasi ya kwanza kuliko mumewe? Democracts wengi hawana akiliHuyu hapa mwanaume
View attachment 3042099
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje mbwa, cactus na dead people wanachukua nafasi ya kwanza kuliko mumewe? Democracts wengi hawana akiliHuyu hapa mwanaume
View attachment 3042099
Marekani hakuna chawa, Raia wamegawanyika katika misimamo ya Republicans na Democrats, wachache ndio independents. Hawa ambao hawamtaki Trump hata akishinda hawatamuunga mkono.Hawa ni kama akina mwashamba wa USA no wonder. Biden akisema hagombei wanabadilika wote. Trump akishinda wanaenda naye.
Mwashamba no offense just example
Wanasiasa wa Marekani wanawaiga wanasiasa wa Kiafrika. Trump get well soon.Kama akinusurika na hili shambulio, naona akienda kupata kura za huruma kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Kupitia hili tukio, niseme wamempiga chura teke bila kujua wanamuongezea mwendo.
Inakuwaje mbwa, cactus na dead people wanachukua nafasi ya kwanza kuliko mumewe? Democracts wengi hawana akili
AaahaaaTrump style yake ya kuongea huku amepindisha SHINGO imemuokoa
Huenda ni tukio la kughushi
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa sikio la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni
Bado haijajulika nani alifyatua risasi.
Update 1
Mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzungukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.
Bado haijajulikana kuwa damu zinazotiririka kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni
Update 2
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.
Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.
Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na Taifa.
Update
Mmarekani Mathew Thomas Cook mwenye miaka 20 ndio aliyemshambulia Trump kwa rifle kabla na yeye kuuwawa na walinzi
Anga la Pennyslivenia la limefungwa hakuna ndege inayoruhusiwa kutua wala kupaa
Rais Joe Biden amempigia simu mshindani wake na kumtakia apone haraka huku akisema hali hii haitakiwi kutokea nchni Marekani
Salamu za pole some toka
Italy kwa waziri mkuu Goeg malon , waziri mkuu wa Uingereza Stamar , waziri mkuu wa Japan Kishida,Rais wa Ufaransa makroon , Chancellor wa Ujerumani, waziri mkuu wa Canada,na n.k
Palina
=====
Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard
Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.
Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.
“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.
The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.
In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.
The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.
Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.
Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."
Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.
“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."
Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.
"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."
In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".
"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.
Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".
Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
Sidhani. Si umeona huko waliomshamshambulia wamepatikana tayari, Vipi waliomshambulia Tundu Lissu?
Hii mbaya kabisa!!Duuh, hatari sana hii
ngoja nikuweke kwenye list mrembo.Nifah huyu mshkaji anakutaka nini?!
Au ashafanyaga majaribio ya kuleta maombi P.M unamlia bati?! Maana sioni point ya yeye kukushambulia namna hii kisa tu mchango wako hakupendezewa nao...
We jamaa acha mambo ya Kike..., sasa hapa hata wanaume wenzako tunakushangaa. Kipi kibaya kakisema mpaka umshambulie na maneno ya dharau na kejeli?!
Ushoga ukiwa unapamba moto, tayari kuna vijidume mchele vinajiingiza kwenye ushoga au vishakuwa vishoga bila kujijua.
Bwege nazi wewe!
Hiyo kichwani au kifuani ndio imefeli Sasa. Kwa nini ukimshambulia mtu kwa Risasi kwa namna hiyo unapewa kesi ya kudhuru mwili na kujaribu kuua!? Kwa nini usiachwe TU Wakati ulikuwa unajaribu kumtisha TU!?Hizo risasi 30 alipigwa sehemu gn ya mwili? Imagine angepigwa kichwani au kifuani ungesemaje
13 July 2024
Butler, Pennsylvania
Marekani
MILIO IPATAYO TISA YA SILAHA YASIKIKA KATIKA MKUTANO WA TRUMP, AJERUHIWA SIKIO KWA RISASI KATIKA JARIBIO LA KUONDOKA UHAI WA MGOMBEA URAIS
View: https://m.youtube.com/watch?v=szm4fJLaQUU
Trump akikunja ngumi hewani baada ya shambulio lililotaka kuondoa uhai wake kushindwa, huku akibebwa mzobe mzobe na walinzi wake baada ya milio ya silaha ya moto kusikika katika mkutano huko Butler, Pennsylvania Marekani.
Umati ulipoona Trump akinyoosha ngumi angani kuwa amenusirika ukaimba wimbo wa kizalendo wa USA! USA! kuashiria umma uliohudhuria mkutano wapo naye bega kwa bega Trump
Shots are fired at former President Trump's campaign rally in Butler, Pennsylvania, and the former President is rushed off stage.
View: https://m.youtube.com/watch?v=XL3D0h5j0Lo
Mara baada ya milio kadhaa ya silaha ya moto kusikika, rais Trump alishika sikio lake kuashiria kitu kimempiga, walinzi wake haraka walimzingira na kumueka katika sakafu ya jukwaa kumlinda huku wakikagua hali ya jeraha lake pia kupanga mipango ya jinsi ya kutoka naye kwa usalama kutoka ktk jukwaa la mkutano alilokuwa amesima akihutubia huko Butler, Pennsylvania Marekani
View attachment 3041818
Msemaji wa Kikosi cha Usalama (Secret Service) alisema Bw. Trump alikuwa "salama." Msemaji wa kampeni ya Trump, Steven Cheung, alisema katika taarifa kwamba rais huyo wa zamani "anaendelea vizuri na anachunguzwa katika kituo cha matibabu cha eneo la karibu ."
View attachment 3041835
Anatufaa sana huyu kupeperusha bendera ya cryptoHawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Nilikua simpendi Trump nikimuona kama mbaguzi sana.Isije kuws kiki tu ila nje ya hili tukio huyu mwamba namkubali sana hana unafiki.
Proactive vs activeulinzi mkali ni kuzuia kabla, i mean amewezaje kufika eneo hilo akiwa na siraha ya udunguaji pia kabla trump hajainama yani ku take action ye mwenyewe zimepita risasi kadhaa mpaka iliyompata sikio na walinzi walikuwa hawajafika!. pia inasemekana kuna mtu aliwaambia kwenye hilo jengo alikuwepo mtu anasiraha na hawakutake action huoni kuna upungufu hapo!..
totally kilichotokea ni bahati tu kwa trump kupona na sio kwamba ulinzi ulifanya kitu!, hiyo risasi iliyomchuna sikio ingekuwa imempata kwenye paji la uso tungekuwa tunazungumzia kitu chengine hapa!.. ulinzi wakulinda viongozi hautegemei adui afanye kosa ndo kiongozi apone! kama na hapa haujaelewa hiyo itakuwa ni shughuli yako sasa mi nishakuelewesha.
Republican.Trump ni Democrats au Republican?
Iyo ndio character ya wazungu wote ila tu Trump yeye sio mnafiki tofauti na hao wengine wanaoigiza kutupenda kumbe wanatulainisha tu watutumie masilahi yao tu. Kuna hotuba fulani ya kaburu botha enzi za ubaguzi wa rangi uko sauzi nishawahi kuisoma kama ni kweli basi jamaa alituchana ukweli live tunamuandama tu kwa sababu hatupendi kuambiwa ukweli.Nilikua simpendi Trump nikimuona kama mbaguzi sana