Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Sasa huyu Msenge shoga wa New York si watamtafuta wamfyatulie kwenye kiboga chake anaongea nini maigizo watu kufa maigizo?
 
Yeah! Yaani ilikuwa ni inches tu kichwa kingefumuka.
Hata JFK risasi ya kwanza ilimkosa, ya pili ilimpa majeraha akawa ameshtuka kidogo, ile ya tatu ndipo ikafumua nusu ya kichwa chake na yote hayo yalitendeka kwa sekunde 8.

Zile risasi wanazo kosa zinasaidia kutengeneza accuracy zaidi kwa kufahamu ni namna gsni aweze ku adjust silaha kuipata target kwa ufasaha.

Sema ndio hivyo secret serice wamefanya kazi yao, kingine Trump alijiongeza sana kulala chini.
 
Hiyo miwani yao myeusi ina kazi gani kama asiye na miwani aliwaona wahalifu
 
Hawakutegemea yangefika huko ni sawa na boat izame alafu huna life jacket unaogelea tu hivyo hivyo
Nadhani wanaziamini hizo tactics zao nyingine.

Sina hakika sana lakini nadhani Marekani ndo nchi inayoongoza kwa kuwa na marais wengi ambao wameuwawa!

Kuanzia 1865 mpaka leo hii.

Secret service wana uzoefu sana na hizi assasinations.

Hata Israel huwa inapeleka watu wake kufunzwa na Secret service namna ya kuwalinda viongozi.

Kama unakumbuka, 1995 Yitzhak Rabin aliuliwa.

Baada ya hapo Israel ikapeleka agents wa Shin Bet kuwa trained na secret service.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…