Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Trump anataka kuchezea hisia za wamarekani 😂
 
Naamini kwa hili tukio Trump ataingia ikulu ya Marekani kwa mara ya pili, litamuongezea sana political mileage, lakini achunge sana yanaweza kumkuta ya John F. Kennedy aliyeuwawa kwa risasi akiwa Rais wa Marekani.

Kwa historia ya lile taifa, maadui wakianza kukuandama hawakuachi mpaka wakumalize.
 
Biden ipo wazi alikuwa anakwenda kushindwa, Trump akipita Ukraine hali ni mbaya, hakuna kutoa misaada ya silaha , kuna uhusiano mkubwa wa kutaka kummaliza Trump na issue ya Russia-Ukraine war.
Kuna ukweli hapo. Trump ni adui wa Taifa kwenye mambo yanyohusu mahusiano ya Russia vs USA.

Sera zake hazina tija kwenye muungano wa NATO na US bali zinazoonekana kumbeba Putin ambaye ni adui wa Taifa la marekani.
 
Siasa za Marekani sasa zinaanza kufuata njia za bara la Afrika.
Walitubeza kiasi cha kutosha, nao wanaingia kwenye aibu.
kejeli ya ndege 'chichidodo'
mbegu za mababu zetu hizo kupitia utumwa. wamedhihirisha umoja wetu kinasaba🙄

"we are the image of our parents"-Chinuamulogo Albert Achebe
 
Inside Joe Biden

Kibabu hakitaki kabisa Trump aingie ikulu ya USA kipo tayari kimfyekelee mbali, ule mdahalo wa hapa majuzi Trump alikapiga KO
Hahahah kibabu Dementia ishamuangamiza kinajua Trump akiingia tu Ukraine inageuka gofu🤣 kwa kukosa msaada maana Putin na Trump ni classmates hawapingani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…