and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ni sahihi.Usisahau pia Trump akipita Palestina hali mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi.Usisahau pia Trump akipita Palestina hali mbaya.
Unajua msimamo wa Trump kuhusu Palestina? Huyo ndio kwa mara ya kwanza aliitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel ilileta utata sana. Halafu wapenda vita sio Democrats ni Republicams. Fuatilia historia vizuri.Wakati wa Trump hakukua na Vita za kisengesenge alipoingia huyo Babu yako Ukoo wa Bush na Obama wakakinga ndoo ya Damu sasa Palestine damu zinamwagika Ukraine damu zinamwagika
America imekuwa Nchi ya Conspiracy Theories 😆Huku kizungumkuti kikiendelea kuhusu tukio linalodaiwa la kushambuliwa na risasi Rais wa zamani wa Marekani Trump, kumeibuka kundi lingine kubwa wakidai tukio hilo lina dalili zote za kupangwa kama igizo(staged)
In sniping missing a target is a crimeNajaribu kufikiria, unashambulia alafu unauliwa; anakuwa amepata faida gani?
Afya ya Biden kiakili na kimwili haipo sawa, mzee anaweza kusimama kwenye mkutano akasahau anachopaswa kuzungumza, kwenye huu mkutano wa juzi hapa wa NATO, anamuita Zelensky ni Putin, sasa wananchi wamekuwa na mashaka juu ya afya yake kuongoza Taifa kubwa kama USA. Uzuri wenzetu hawana unafiki kama sisi.Sio wabongo ni Wamarekani wenyewe,
View attachment 3042032
Trump ni Democrats au Republican?Unajua msimamo wa Trump kuhusu Palestina? Huyo ndio kwa mara ya kwanza aliitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel ilileta utata sana. Halafu wapenda vita sio Democrats ni Republicams. Fuatilia historia vizuri.
Ata kama angefanikiwa, lazima na yeye angeuliwa tu; hoja yangu, anakuwa ameahidiwa nini chenye thamani zaidi kuliko uhai?In sniping missing a target is a crime
Unakuta aliahidiwa pesa na ulinzi, aliandaa na escaping plan.Ata kama angefanikiwa, lazima na yeye angeuliwa tu; hoja yangu, anakuwa ameahidiwa nini chenye thamani zaidi kuliko uhai?
Mwaga mcheRe.Kuna siku niliandika kuhusu Mind control programs na experiments zinazofanywa na vyombo vya usalama kwa nchi za wenzetu, mfano : CIA na programu ya MK ultra , ambapo inaaminika waliweza kutengeneza wauaji kadhaa kama Akina Timothy McVeigh na kuwatumia kufanya issues za mauaji na mambo mengine .
Hii wala sio siri iko wazi hata ukiingia Google ,ushahidi upo mwingi
So bila shaka hata hili tukio huyo dogo ni moja ya mind controlled killer kama product ya hizo program
EXACTLY!Nafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Picha ya muuaji kitu gani?Na kuona picha ya muuaji inayotisha lakini kuna wapuuzi bado wanakuambia ni maigizo, ila wabongo...
Yani umuombee trump, seriousTrump anapitia majaribu mengi kwa kweli. Ni kumuombea sana huyu mzee.
Watu kufa maigizo?Sasa matusi ya nini mzee?
Komwe tuliaPicha ya muuaji kitu gani?
Maigizo huwa yanakuwa DRAMATIZED kwa kiwango cha kuokena ni halisi na hata ikibidi kuhusisha vifo vya kweli, yes, lakini inabaki kuwa ni SINEMA yaani BONGO MUVI.
Na yule Bazazi Kennedy aliuwawaga kwa ujuha na upumbafu wake!Acha bange dogo. Kennedy alipigwa risasi akiwa rais, tayari kwenye mamlaka yake. Trump sio rais kwasasa ni mgombea tu. Kwa hivi ameshambuliwa kama mpinzani, ni kama CCM inavyoshambulia wapinzani wake kwa risasi
Hayo ndio madhara kuto omba na hayo yote ni dalili kabisa ya kuto ombewaYani umuombee trump, serious
Hebu elezea kwa hoja kwanini hayo ni maigizo labda naweza kukubaliana na wewe.Picha ya muuaji kitu gani?
Maigizo huwa yanakuwa DRAMATIZED kwa kiwango cha kuokena ni halisi na hata ikibidi kuhusisha vifo vya kweli, yes, lakini inabaki kuwa ni SINEMA yaani BONGO MUVI.