Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Wakati wa Trump hakukua na Vita za kisengesenge alipoingia huyo Babu yako Ukoo wa Bush na Obama wakakinga ndoo ya Damu sasa Palestine damu zinamwagika Ukraine damu zinamwagika
Unajua msimamo wa Trump kuhusu Palestina? Huyo ndio kwa mara ya kwanza aliitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel ilileta utata sana. Halafu wapenda vita sio Democrats ni Republicams. Fuatilia historia vizuri.
 
Huku kizungumkuti kikiendelea kuhusu tukio linalodaiwa la kushambuliwa na risasi Rais wa zamani wa Marekani Trump, kumeibuka kundi lingine kubwa wakidai tukio hilo lina dalili zote za kupangwa kama igizo(staged)
America imekuwa Nchi ya Conspiracy Theories 😆
 
Sio wabongo ni Wamarekani wenyewe,
View attachment 3042032
Afya ya Biden kiakili na kimwili haipo sawa, mzee anaweza kusimama kwenye mkutano akasahau anachopaswa kuzungumza, kwenye huu mkutano wa juzi hapa wa NATO, anamuita Zelensky ni Putin, sasa wananchi wamekuwa na mashaka juu ya afya yake kuongoza Taifa kubwa kama USA. Uzuri wenzetu hawana unafiki kama sisi.

Hivyo Trump ilikuwa wazi alikuwa anamshinda huyo mzee, sasa hii ku stage tukio kwa sababu ya uchguzi sidhani.
Ina maana huyo muuaji amekufa akiwa kwenye maigizo?

Watu hawakosi cha kuongea.
 
Ata kama angefanikiwa, lazima na yeye angeuliwa tu; hoja yangu, anakuwa ameahidiwa nini chenye thamani zaidi kuliko uhai?
Unakuta aliahidiwa pesa na ulinzi, aliandaa na escaping plan.
Ni kama askari wa wanaokwenda vitani au mercenaries kama Wagner Group wale askari wao unafikiri wana ahidiwa nini zaidi kuliko uhai?

Watu wanacheza biko mkuu.
 
Kuna siku niliandika kuhusu Mind control programs na experiments zinazofanywa na vyombo vya usalama kwa nchi za wenzetu, mfano : CIA na programu ya MK ultra , ambapo inaaminika waliweza kutengeneza wauaji kadhaa kama Akina Timothy McVeigh na kuwatumia kufanya issues za mauaji na mambo mengine .
Hii wala sio siri iko wazi hata ukiingia Google ,ushahidi upo mwingi
So bila shaka hata hili tukio huyo dogo ni moja ya mind controlled killer kama product ya hizo program
Mwaga mcheRe.
 
Acha bange dogo. Kennedy alipigwa risasi akiwa rais, tayari kwenye mamlaka yake. Trump sio rais kwasasa ni mgombea tu. Kwa hivi ameshambuliwa kama mpinzani, ni kama CCM inavyoshambulia wapinzani wake kwa risasi
Na yule Bazazi Kennedy aliuwawaga kwa ujuha na upumbafu wake!

Unapewaje utamu mpaka unavujisha siri nyeti za nchi na serikali?! Tena kwa kahaba tu ambaye aliwa mpaka na wahuni wengine wa town wajanja wajanja wenye pesa mbuzi zinazotokana na michongo haramu?!

Kishtobe nae alikuwa akienda kuliwa na wahuni wengine huko anayapekeka kama yalivyo... Wahuni wanayapeleka kwa maadui... Wote mnaonekana mpo uchi, maadui wanaendelea kuchekecha, mwisho wa siku wakagundua kumbe amiri jeshi mkuu wetu ana mambo ya kishoga..., wakaamua kumlamba bazazi yule
 
Picha ya muuaji kitu gani?

Maigizo huwa yanakuwa DRAMATIZED kwa kiwango cha kuokena ni halisi na hata ikibidi kuhusisha vifo vya kweli, yes, lakini inabaki kuwa ni SINEMA yaani BONGO MUVI.
Hebu elezea kwa hoja kwanini hayo ni maigizo labda naweza kukubaliana na wewe.
Hio ni assassination attempt we unasemaje ni maigizo? kwanini unasema ni maigizo?

Naona una maoni lakini huna facts.
 
Back
Top Bottom