Ukiweka neno apartheid huko arabuni kunaongoza bora hao wanaandika vitab ila huko arabuni , mambo yamefunikwa sana , huez amini yule dada wa kenya alitupwa ghorofan ila serikali ya Saudia haikuchukuwa hatua yoyote mpk Kenya ilipopiga marufuku wadada kwenda Saudia kufanya kazi ndipo Saudia wakaenda kenya kuweka mambo sawa , ila pia hawakuwa chukua hatua yoyote , USA serikali yao inachukua hatua na inajitahidi kuweka mambo sawa , ukitegemea vitabu tu hutojua lolote , dunian ni bora USA kuliko hz nchi nyingne ambazo husikii wakizungumzia ubaguzi mf Nchi Libyia mikoa ya kusin ina watu weusi 95% ila hutosikia popote wakionekana WAMEKANDAMIZWA SIO KIMICHEZO WALA KISIASA , SERIKALI YOTE WATU WEUPE TIMU YAO YA TAIFA WATU WEUPE , ILA KWA UZUZU WAKO UPO BIZE NA USA AMBAYO INAWEKA MAMBO WAZI NA INAWAJIBIKA , HATA SAUDIA , IRAN , IRAQ , SYRIA , URUSI , CHINA , N.KOREA , AUSTRALIA KOTE HUKO ZIPO JAMII ZA WATU WEUSI ILA zimenyimwa hata fursa ya kuonekana kwenye tv , USA imepiga hatua kubwa sana kwa upande wa watu weusi kupata haki zao , china kesi ubaguzi haina uzito kbs
View attachment 2660887View attachment 2660883View attachment 2660884View attachment 2660885View attachment 2660886View attachment 2660888View attachment 2660889View attachment 2660890