Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

Kwani mtu mweusi anafaidika nini na kuwekewa picha za Mzungu blonde mwenye macho ya blue na kuambiwa ndo Yesu Mungu wake?wakati kama Yesu alikuwa myahudi hawezi kuwa blonde na mwenye macho ya blue...au wajerumani walikuwa wanaua wayahudi wenye macho ya blue na blonde??
Waisraeli wenye nywele za blond na macho ya bluu mbona ni wengi sana tena toka enzi na enzi wewe ndio hujui kitu.

Kuna makabila 12 ya wana wa Israel wa hivyo wametapakaa Ulaya na Amerika ya Kaskazini kwa mujibu wa Biblia.
 
Wewe mpenda wazungu naona umeumia Sana napokuonesha walivyo sio watu...
Kuna Mzungu juzi kampiga risasi mtoto mweusi Kwa kugonga hodi Tu nyumban kwake...
Eti wazungu WA sasa wastaraabu nenda ukaishi nao wakutwange risasi..
Hapa akina Benny Saanane na Azory Gwanda walipotea na hawajulikani walipo sasa sijui kama na wenyewe wamepotezwa na wazungu? I don't know.
 
[emoji23] [emoji23] mkuu kukosa ajira isiwe ttzo , wapo wengi hawana ajira usiwe na stress nying [emoji23] [emoji23] [emoji23] , nlisema wazungu wastaarabu ww ukaleta story za ubaguzi nkakujib bora USA kuliko huko kwingine , ukakaza fuvu sasa hv unarukia food safety , crime rates sijui magonjwa etc vitu ambavyo ni OP kwenye thread hiii kwann usifungue thread uteme nyongo huko mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana naona umelishwa matango huko umekuja yatemea hapa sasa [emoji23] [emoji23] ebana bora USA ndio maana mnaenda USA sio Urusi wala Iran maana huko nchi zinaendeshwa kibabe sana
Huyo aache uongo, nchi kama Saudi Arabia na Iran ni miongoni mwa nchi chache duniani zinazoongoza kwa kunyonga watu sasa kama sio kwa uhalifu hao watu wananyongwa kwa nini.

Waafrika tunapenda sana kusifia tamaduni za kigeni na ndio maana sisi ndio tumefunga mkia kwa kuwa na IQ ndogo sana eti hadi majina lazima ujiite jina la kigeni ndio eti uonekane mnyoofu mbele za Mungu. Waafrika bure kabisa.
 
Kama ushoga umeletwa na waarabu then kwanini inchi za kiarabu zina idadi ndogo ya mashoga na zimeweka sheria ngumu kwa wanao shiriki kuliko inchi za kikristo au zenye idadi kubwa ya wakristo.

Maana kama ingekuwa wao ndio waanzilishi (kulingans na hoja yako) basi leo tungeshuhudia ndio wanaongoza kwa idadi kubwa ya mashoga

Kwanini?
Waarabu wanaficha sana maovu yao, sema wazungu ni wawazi na sio wanafiki sana kama waarabu. Ukitaka kujua mwarabu ni mtu wa namna gani basi muulize msichana aliyewahi kwenda kufanya kazi za ndani huko uarabuni ndio utajua. Mwarabu sio mtu bwana.
 

Attachments

  • Screenshot_20230611-200519_Facebook.jpg
    Screenshot_20230611-200519_Facebook.jpg
    154.5 KB · Views: 3
Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji.

Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya, lilipitisha azimio hilo la kupiga marufuku maonyesho ya bendera za LGBTQ kwenye majengo ya umma.

Upigaji kura kwa kauli moja ulifanyika Jumanne usiku, na azimio lililowasilishwa na Meya pamoja na Diwani Mohammed Hassan.

Azimio hilo linafafanua kwamba, “Serikali ya Jiji la Hamtramck hairuhusu bendera zozote zenye kuonyesha kikundi cha kidini, kikabila, rangi, kisiasa au makundi ya kijinsia kupeperushwa kwenye majengo ya umma ya Jiji, ila bendera ya Marekani pekee."

Huku kukiwa na upinzani dhidi ya pendekezo hilo, Hassan aliwaambia wanao leta pingamizi "Tafadhali msitutishe. Mimi ndiye afisa nilyechaguliwa. Ninafanya kazi kwa ajili ya watu, na kile ambacho watu wengi wanapenda."

Detroit Free Press iliripoti.

Hassan alisema anawakaribisha Hamtramck, ILA wanapaswa kuheshimu uhuru wa kidini
 
Na akina Osama, Al Zawahiri na Al Baghdadi wenyewe wako kundi gani.
 
Back
Top Bottom