Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
hongera sana mkuu jambo la kujivunia kwako 👏Miaka 15-20 nyuma uislamu ulikuwa ni local community pale Michigan leo almost baraza zima limejaa waislamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera sana mkuu jambo la kujivunia kwako 👏Miaka 15-20 nyuma uislamu ulikuwa ni local community pale Michigan leo almost baraza zima limejaa waislamu.
Kasome historia kabla ya kupuyanga hapa , tuna miaka 200 toka utumwa uishe , leo nchi ya Uholanzi ambayo haikuwa na kolon afrika ina watu weusi wengi kuliko Iran ambayo imefanya biashara na afrika kwa miaka mingi sanaTaifa la Marekani limejengwa kwa misingi ya wahamiaji na karibia wote wa Marekani ni wahamiaji tu.
Ndani ya Marekani ukuwatoa wahindi wekundu ambao hawafiki hata asilimia 0.2 ndani ya Marekani wengine wote walio baki ni wahamiaji tu sema tofauti ni kuwa kuna wengine walitangulia kuhamia kuliko wengine.
Sasa niambie hizo nchi nyingine zina historia gani na wahamiaji?
Huyo jamaa kamezeshwa sumu kuhusu USA yeye anataka kila baya awape USA , na watu wa ivo ndo wanafanya tusiendelee kutwa kuunda vikundi vya kigaidi kuua waafrika wenzao ili kuwafurahisha mabwana zao wa kiarabu , ngumu sana huyo kukuelewaTaifa gani lisilo na wahamiaji?
Na kwanini hata miaka ya leo waendelee kwenda kule?
Ukisema taifa la Marekani limejengwa na misingi ya wahamiaji then unakiri kuwa hizo habari za US kuwa ni wabaguzi ni propaganda tu.
Unapotetea hayo mataifa mengine kuwa hayakujengwa na misingi ya wahamiaji, hapo unakiri kuwa mataifa hayo ni ya kibaguzi, siyo US wala ulaya.
Jamaa kakuelezea vzr sn ila sumu uliyolishwa na kitabu chenu hicho imekulemaza akili , mhamiaji hapangiwi wap pa kuhamia ila mhamiaji anaangalia wap wana unafuu kwake , hutopata sehem itaish bila malalamiko ila huko Urus na Uchina nyiny wahamiaj hamna nafas kbs sio kisiasa wala kiuchumi wala kimichezoSasa hao wazungu wanapata wapi haki ya kuwabagua watu wengine kisa ni wahamiaji hali yakuwa na wao ni wahamiaji Kama wao?
Ww hoja yako ilikuwa ni kwann Marekani ina wahamiaji wengi kuliko Uchina na Urusi ndo nikakwambia kuwa Marekani haina wahamiaji wengi tu bali ni taifa la wahamiaji kabisa.
Kuhusu watu kuhamia mbona kila nchi duniani kuna wahamiaji kutoka nchi nyingine?
Lakini ninacho jaribu kukueleza ni kuwa Historia kati ya Waafrika na Marekani ina zaidi ya miaka 500, hali ya kuwa Historia kati ya wachina au Warusi na waafrika haina hata miaka 70 hivyo huwezi walinganisha.
Huyo hajui il kamezeshwa sumu kuwa wamarekan wazungu ni wabaya bas akili yake haifikirii nje ya hapoNilifikiri upo serious, kumbe unafanya comedy
Historia ya waarabu, wahindi ma waafrika ina miaka mingapi? Au nikuache uendelee na comedy?
Kasome historia bado una umbumbumbu mwingi sana , hujui na hutak kujua unataka historia inayoiufurahisha ww , hao waarabu , wahind , wachina na washirazi ( leo wairan na waturuki ) walikuja huku afrika miaka mingi sana , kaangalie hata Ottoman empire uone kuwa biashara ya utumwa ipo miaka na miaka hata kabla ya kugundulika kwa bara la amerika , walikuwa wanakuja afrika wanachukua watumwa weusi kwa ajili ya shughuli zai za kiuchumi ( mashamba na viwanda vya kienyeji )Ww jamaa una n ujuaji wa kijinga, unapo waongelea wahindi kwani walisha wahi kuja hapa Afrika wakawateka waafrika na kuwapeleka India kuwatumikisha mamia ya miaka kama wazungu wa America?
Waarabu wao walikuwa madalali wa wazungu kwenye biashara ya watumwa, walipo kuwa wanakuja kuwachukua watumwa huku walikuwa hawawapeleki waarabuni bali waliwapeleka American.
Huyo hajui halaf hatak kujua , wapuuz kama hao ni wengi sana kisa kijijin kwao yeye ndo mwenye smartphone basi wanamsikiliza huko kama mungu sasa anataka mentality ya kijijini kwao ailete hapaUnaona sasa u? Ukianza kutiririka yaani unajitiririkia na kusahau hoja zako mwenyewe.
Nikiamua kuendelea na wewe hata hii hoja ya Mwarabu kuwa dalaki wa mzungu utairuka.
Hata hapa ilivyo bado unaonekana unaonekana una story zako, siyo historia, na nina swali dogo tu ambalo litakupiga kitanzi, ila kwa kuwa nimeona ni kuj8bizana kusiko na tija acha nikuache.
Maana umeshaanza ku panic
Kbs mkuu hawa wanajadili mambo kimihemko wala hawana data , wao kuja data zinapikwa huko vijiwen kwao bas hawatafuti zaidMimi huyu jamaa nimeshaona uelewa wake ni tatizo. Yupo too shallow na ndiyo maana nimemuacha
Kwani unapata faida gani watu wote wakiwa waislam?US will be islamalized insha'Allah
It's about time ,A good start
Soma vizuri maelezo ni bendera zote zinazo wakilisha makundi ya kidini au milengo ya kiitikadi isipokuwa benders ya USA, jambo hilo limepewa msukomo na mega mwisilam ila sio swala la kueneza dini ya kiislamNi kweli kabisa upo sahihi mkuu but something special here ni kuona jambo hili limefanyika kwa shinikizo kubwa la waislamu, hii inamaanisha kuwa uislamu umeanza kuota mzizi taratibu Marekani hiki sio kitu rahisi kukifanya kwa mtu au community yeyote kule Marekani
Muslims seems are the only one have Balls to fight them
So as as A Muslim lazima nifarijike
Kwani mimi nimezungumzia hili "kueneza dini ya kiislam"Soma vizuri maelezo ni bendera zote zinazo wakilisha makundi ya kidini au milengo ya kiitikadi isipokuwa benders ya USA, jambo hilo limepewa msukomo na mega mwisilam ila sio swala la kueneza dini ya kiislam
Ndoto hizi ni hatari sanaUS will be islamalized insha'Allah
It's about time ,A good start
Waarabu na ushoga ni chanda na peteKama ushoga umeletwa na waarabu then kwanini inchi za kiarabu zina idadi ndogo ya mashoga na zimeweka sheria ngumu kwa wanao shiriki kuliko inchi za kikristo au zenye idadi kubwa ya wakristo.
Maana kama ingekuwa wao ndio waanzilishi (kulingans na hoja yako) basi leo tungeshuhudia ndio wanaongoza kwa idadi kubwa ya mashoga
Kwanini?
Huo mwisho ungeanzia Zanzibar na Lebanon.Kuna mtu hajaonekana kwenye uzi huu wenye muktadha wa kidini, sio kawaida.
Saudi Arabia hadi leo wanaogopa kuruhusu kanisa hata moja kujengwa nchini humo kwa hofu kubwa kwamba wakiruhusu tu basi ndio utakuwa mwisho wa dini ya Islam kuwepo nchini humo kwa sababu wanajua Injili ilivyo na nguvu ya kusambaa bila shuruti.
Wakati mkiendelea kuota the US government wapo bize na mambo yao wanayoyapendaUS will be islamalized insha'Allah
It's about time ,A good start
Tusiende mbali angalia Tanzania, maeneo gani yanasemekana kuwa na watu wenye kujihusisha na uovu huo.Kama ushoga umeletwa na waarabu then kwanini inchi za kiarabu zina idadi ndogo ya mashoga na zimeweka sheria ngumu kwa wanao shiriki kuliko inchi za kikristo au zenye idadi kubwa ya wakristo.
Maana kama ingekuwa wao ndio waanzilishi (kulingans na hoja yako) basi leo tungeshuhudia ndio wanaongoza kwa idadi kubwa ya mashoga
Kwanini?