ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Chanzo cha Marekani kuwa na watu weusi wengi ni suala la hitoria ya utumwa na watu weusi wana mchango mkubwa katika ujenzi wa Marekani.Upendeleo unapimwa kwa takwimu au kwa muonekano. Dhambi ipo wapi hapo?
Sasa niambie Urusi ,China,na Iran wana historia gani na watu weusi mpaka uje uwalinganishe na Marekani?