Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

Upendeleo unapimwa kwa takwimu au kwa muonekano. Dhambi ipo wapi hapo?
Chanzo cha Marekani kuwa na watu weusi wengi ni suala la hitoria ya utumwa na watu weusi wana mchango mkubwa katika ujenzi wa Marekani.
Sasa niambie Urusi ,China,na Iran wana historia gani na watu weusi mpaka uje uwalinganishe na Marekani?
 
Kuna ukwel gan hapo , mbona unakuwa mwendawazim , ukwel kuwa YESU NI MZUNGU ? We jamaa ni mwehu sijaona , kwamba USA wabaguzi ila lila kitengo kina mtu mweusi nitajie mtu mweusi (mwafrika) yupo kweny system ya Iran , China , Urusi , India na N.korea
Achana na haya majamaa, yanaamini dini kuliko utu, hapa tu Afrika jiulize ni lini ulisikia Egypt ikitatua matatizo ya Burundi, ila utasikia mmatumbi wa kilwa akipambania matatizo ya Palestina
 
Chanzo cha Marekani kuwa na watu weusi wengi ni suala la hitoria ya utumwa na watu weusi wana mchango mkubwa katika ujenzi wa Marekani.
Sasa niambie Urusi ,China,na Iran wana historia gani na watu weusi mpaka uje uwalinganishe na Marekani?
Nilijua lazima uje na hiyo hoja.
Wahamiaji ambao ni blacks in US mpaka sasa wanakadiliwa kufikia milioni nne na nusu (4.5). Hao ni wahamiaji walioingia kutoka nje ya US.

Wakati ukienda Russia , ukichukua Jumla blacks wote waliohamia na kuzaliwa hawafiki laki moja
 
Kuna mtu hajaonekana kwenye uzi huu wenye muktadha wa kidini, sio kawaida.

Saudi Arabia hadi leo wanaogopa kuruhusu kanisa hata moja kujengwa nchini humo kwa hofu kubwa kwamba wakiruhusu tu basi ndio utakuwa mwisho wa dini ya Islam kuwepo nchini humo kwa sababu wanajua Injili ilivyo na nguvu ya kusambaa bila shuruti.
Hata vatikan hakuna msikiti hata mmoja. Wanaogopa kuruhusu maana waabudu masanamu woote wata kuwa waislamu.
 
Katika mabishano yenu yoote! Niwakumbushe hako kamji kana population ya watu 28 elfu kwa mujibu wa sensa ya 2021🤣 na zaidi ya nusu ya wakazi wake ni wahamiaji Toka middle east hasa Yemen! Yaani ukichukua watu wote waislam na wasio waislam ukawaweka pale kwa mkapa kila mtu akapewa siti uwanja unafika nusu! 🤣🤣🤣🤣! Maana msije mkajichanganya hapa mkafikiri mnazungumzia mji wa Chicago. Kimsingi kwa hii population ni sawa na mji wa Chalinze tu
 
Hata vatikan hakuna msikiti hata mmoja. Wanaogopa kuruhusu maana waabudu masanamu woote wata kuwa waislamu.
Nani alikataza kujengwa kwa msikiti vatican? Maana hata pale Roma Papa aliruhusu misikiti ijengwe.
 
Nilijua lazima uje na hiyo hoja.
Wahamiaji ambao ni blacks in US mpaka sasa wanakadiliwa kufikia milioni nne na nusu (4.5). Hao ni wahamiaji walioingia kutoka nje ya US.

Wakati ukienda Russia , ukichukua Jumla blacks wote waliohamia na kuzaliwa hawafiki laki moja
Taifa la Marekani limejengwa kwa misingi ya wahamiaji na karibia wote wa Marekani ni wahamiaji tu.

Ndani ya Marekani ukuwatoa wahindi wekundu ambao hawafiki hata asilimia 0.2 ndani ya Marekani wengine wote walio baki ni wahamiaji tu sema tofauti ni kuwa kuna wengine walitangulia kuhamia kuliko wengine.
Sasa niambie hizo nchi nyingine zina historia gani na wahamiaji?
 
Taifa gani lisilo na wahamiaji?
Na kwanini hata miaka ya leo waendelee kwenda kule?
Ukisema taifa la Marekani limejengwa na misingi ya wahamiaji then unakiri kuwa hizo habari za US kuwa ni wabaguzi ni propaganda tu.
Unapotetea hayo mataifa mengine kuwa hayakujengwa na misingi ya wahamiaji, hapo unakiri kuwa mataifa hayo ni ya kibaguzi, siyo US wala ulaya.
 
Sasa hao wazungu wanapata wapi haki ya kuwabagua watu wengine kisa ni wahamiaji hali yakuwa na wao ni wahamiaji Kama wao?
Ww hoja yako ilikuwa ni kwann Marekani ina wahamiaji wengi kuliko Uchina na Urusi ndo nikakwambia kuwa Marekani haina wahamiaji wengi tu bali ni taifa la wahamiaji kabisa.

Kuhusu watu kuhamia mbona kila nchi duniani kuna wahamiaji kutoka nchi nyingine?

Lakini ninacho jaribu kukueleza ni kuwa Historia kati ya Waafrika na Marekani ina zaidi ya miaka 500, hali ya kuwa Historia kati ya wachina au Warusi na waafrika haina hata miaka 70 hivyo huwezi walinganisha.
 
Nilifikiri upo serious, kumbe unafanya comedy

Historia ya waarabu, wahindi ma waafrika ina miaka mingapi? Au nikuache uendelee na comedy?
 
Nilifikiri upo serious, kumbe unafanya comedy

Historia ya waarabu, wahindi ma waafrika ina miaka mingapi? Au nikuache uendelee na comedy?
Ww jamaa una n ujuaji wa kijinga, unapo waongelea wahindi kwani walisha wahi kuja hapa Afrika wakawateka waafrika na kuwapeleka India kuwatumikisha mamia ya miaka kama wazungu wa America?

Waarabu wao walikuwa madalali wa wazungu kwenye biashara ya watumwa, walipo kuwa wanakuja kuwachukua watumwa huku walikuwa hawawapeleki waarabuni bali waliwapeleka American.
 
Unaona sasa? Ukianza kutiririka yaani unajitiririkia na kusahau hoja zako mwenyewe.
Nikiamua kuendelea na wewe hata hii hoja ya Mwarabu kuwa dalaki wa mzungu utairuka.
Hata hapa ilivyo bado unaonekana una story zako, siyo historia, na nina swali dogo tu ambalo litakupiga kitanzi, ila kwa kuwa nimeona ni kujibizana kusiko na tija, acha nikuache.
Maana umeshaanza ku panic
 
Sema Wamarekani wanawatambua kama raia wao sio Dini zao. A huyu meya ameongea tofauti na wachangiaji. Ile ni free state. Udini ni umasikini
 
Kwahiyo ukienda Urusi na mashariki ya kati hakuna waafrika wanaishi huko?
Na mna mna fursa ga ktk system zao ? umewai ona wazir au hata polisi wa rank za juu ni mweusi huko kwenye nchi zenu pendwa ?
 
Sasa hiyo hoja ya kusema watu weusi wanapenda kukimbilia Marekani inatoka wapi?
Kama hujamwelewa huyo mkuu basi una ttzo , sijaandika hawapo ila hata waliopo hawapati fursa sawa na wakiwa USA , na ndio maana mnapenda USA & WEST , huko mnapasifia ubaguz wao ni HD ndio maana hutoona mtu wa jamii tofauti na zao kweny fursa zozote za nchi ila wapo raia wa asili nyeusi wengi tu hata waarabu na wahindi wapo huko ila umewai sikia nyazifa za juu kapewa mtu asie wa asili yao ? sio utaifa ( sio wazir mkuu kama UK au Raisi kama USA )
 
Chanzo cha Marekani kuwa na watu weusi wengi ni suala la hitoria ya utumwa na watu weusi wana mchango mkubwa katika ujenzi wa Marekani.
Sasa niambie Urusi ,China,na Iran wana historia gani na watu weusi mpaka uje uwalinganishe na Marekani?
Kasome historia hao wa iran na wachina ndo wakwanza kufika pwani ya afrika ya mashariki kabla hata ya waarabu , na ktk nchi zao walidhibiti uwepo wa watu weusi kbs , ndio kwa China walikwepo wachina weusi wamepukutishwa mpk ss sijui kana wapo tena na wanaficha takwimu au uwepo wao kujulikana
f3fff18c5e6712a10bd8f474cbb05df5.jpg
View attachment 2661068
 
Kasome historia hao wa iran na wachina ndo wakwanza kufika pwani ya afrika ya mashariki kabla hata ya waarabu , na ktk nchi zao walidhibiti uwepo wa watu weusi kbs , ndio kwa China walikwepo wachina weusi wamepukutishwa mpk ss sijui kana wapo tena na wanaficha takwimu au uwepo wao kujulikana View attachment 2661069View attachment 2661068
Mimi huyu jamaa nimeshaona uelewa wake ni tatizo. Yupo too shallow na ndiyo maana nimemuacha
 
Nilijua lazima uje na hiyo hoja.
Wahamiaji ambao ni blacks in US mpaka sasa wanakadiliwa kufikia milioni nne na nusu (4.5). Hao ni wahamiaji walioingia kutoka nje ya US.

Wakati ukienda Russia , ukichukua Jumla blacks wote waliohamia na kuzaliwa hawafiki laki moja
Huyo haelewi na hatak kuelewa , juz hapa Dembele alienda Urusi alirudi kisa ubaguzi , nchi za ulaya ya mashariki na urusi zina ubaguz wa hali ya juu, USA ikasome , jamaa angu aliwai ona mtu mweusi kauliwa Urusi na serikali yao ikasema mauaji bila kukusudia eti mtekeleza mauaji aliua akizani ni mnyama hakujua kuwa ni mtu maana hakuwai ona mtu mweusi
 
Sio kwa chuki ila Ukristo unatakiwa uamke toka usingizini. Haya mambo mengi yanatokea sababu Ukristo umeacha kusimamia misingi ya dini.
 
Hata vatikan hakuna msikiti hata mmoja. Wanaogopa kuruhusu maana waabudu masanamu woote wata kuwa waislamu.
Vatikan sio nchi ni sehem ndani ya italia iliyotengwa kwa ajili ya ibada kwa waroma , sasa kama mji mzima wa Roma pamoja na nchi nzima ya italy haikutosh kujenga msikiti mpk uingie vatican then utakuwa na matatizo kichwan
 
Back
Top Bottom