Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

Kasome historia kabla ya kupuyanga hapa , tuna miaka 200 toka utumwa uishe , leo nchi ya Uholanzi ambayo haikuwa na kolon afrika ina watu weusi wengi kuliko Iran ambayo imefanya biashara na afrika kwa miaka mingi sana
 
Huyo jamaa kamezeshwa sumu kuhusu USA yeye anataka kila baya awape USA , na watu wa ivo ndo wanafanya tusiendelee kutwa kuunda vikundi vya kigaidi kuua waafrika wenzao ili kuwafurahisha mabwana zao wa kiarabu , ngumu sana huyo kukuelewa
 
Jamaa kakuelezea vzr sn ila sumu uliyolishwa na kitabu chenu hicho imekulemaza akili , mhamiaji hapangiwi wap pa kuhamia ila mhamiaji anaangalia wap wana unafuu kwake , hutopata sehem itaish bila malalamiko ila huko Urus na Uchina nyiny wahamiaj hamna nafas kbs sio kisiasa wala kiuchumi wala kimichezo
 
Kasome historia bado una umbumbumbu mwingi sana , hujui na hutak kujua unataka historia inayoiufurahisha ww , hao waarabu , wahind , wachina na washirazi ( leo wairan na waturuki ) walikuja huku afrika miaka mingi sana , kaangalie hata Ottoman empire uone kuwa biashara ya utumwa ipo miaka na miaka hata kabla ya kugundulika kwa bara la amerika , walikuwa wanakuja afrika wanachukua watumwa weusi kwa ajili ya shughuli zai za kiuchumi ( mashamba na viwanda vya kienyeji )
 
Huyo hajui halaf hatak kujua , wapuuz kama hao ni wengi sana kisa kijijin kwao yeye ndo mwenye smartphone basi wanamsikiliza huko kama mungu sasa anataka mentality ya kijijini kwao ailete hapa
 
Mimi huyu jamaa nimeshaona uelewa wake ni tatizo. Yupo too shallow na ndiyo maana nimemuacha
Kbs mkuu hawa wanajadili mambo kimihemko wala hawana data , wao kuja data zinapikwa huko vijiwen kwao bas hawatafuti zaid
 
Soma vizuri maelezo ni bendera zote zinazo wakilisha makundi ya kidini au milengo ya kiitikadi isipokuwa benders ya USA, jambo hilo limepewa msukomo na mega mwisilam ila sio swala la kueneza dini ya kiislam
 
Soma vizuri maelezo ni bendera zote zinazo wakilisha makundi ya kidini au milengo ya kiitikadi isipokuwa benders ya USA, jambo hilo limepewa msukomo na mega mwisilam ila sio swala la kueneza dini ya kiislam
Kwani mimi nimezungumzia hili "kueneza dini ya kiislam"
 
Waarabu na ushoga ni chanda na pete
 
Huo mwisho ungeanzia Zanzibar na Lebanon.
 
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245:

"maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.

Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam.

Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
 
Je ni kweli ushoga umehalalishwa kwenye uislamu??????

, allah wa kwenye quran alikuwa anamwingiza muhamnad !!!!!!

Qur an 17:81 inasema
"Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Huo ni mwingizo gani muhammad alikuwa anaomba kuingizwa?
 
Tusiende mbali angalia Tanzania, maeneo gani yanasemekana kuwa na watu wenye kujihusisha na uovu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…