Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Hao Wamarekani wameshindwa kuzuia watoto na wamama masikini wa Palestina kuuliwa kwa maelfu leo ndio uwaone wanauwezo wa kuzuia vita? hebu tumia akili yako Vizuri
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Ndo hapo wakati wewe mmwera jasusi umeng'amua
 
Hao Wamarekani wameshindwa kuzuia watoto na wamama masikini wa Palestina kuuliwa kwa maelfu leo ndio uwaone wanauwezo wa kuzuia vita? hebu tumia akili yako Vizuri
Kwani aliwatuma Mmarekani October 7? Aliyewatuma ndo azuie
 
Kama Iran shida yake ni kuingia "head to head war" na mmarekani si atupe kombora moja pale Pentagon?

Anarandaranda tu ila kidizaini anamuogopa mmarekani... Maana km wamarekani ndo wanafanya operation ya kumkanda nchini kwake kwanini naye asiwakande kulekule kwao kuliko kukomaa na Israel ambaye mnasema ni kibaraka tu wa mmarekani?
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Vita ni pamoja na washirika, mbona Russian imeagiza majeshi ya Korea kuisaidia kupambana na Ukraine hali kadhalika IRAN imeipa silaha Russia
 
Inaonekana wewe ni mweupe wa masuala ya kimataifa.
Atapigaje Pentagon ilhali threat ipo Israel!?
Akitulizwa Israel hakuna chambo nyingine tena ya kutumika dhidi ya Iran.
 
Hivi we kiongozi uliyeandika Uzi huu unafikiria Nini??

Yaani marekan iwazuie Israel kufanya mashambuliz Iran na wawaruhusu kuyafanya Gaza??

Iran sio kama hao wengine, yaan wale ni viburi wenzao na hawaelew Chcht kama unavofikiria ww
Iran atapigwa akijaribu kuleta ujinga tena
 
UYO MMEREKANI ndio wakumtishia IRAN iyo USA nikama jokaaa linatakiwa likatwe kichwa mbele ya macho y Dunia na duniani yote itashangilia kufa jokaa kuuu. Vitoto vichanga vinauwawa na ndio analatibu achagui hospital msikiti kanisa umeme maji chakula sheria zote zinakiukwa kwa amri yake UN inadhalilishwa kwa amri yake ile jokaaa kuuu WaIRAN wataikomboa dunia kushilikiana nawashilika wao.lkn jokaaa mla watoto wachanga litoke shimoni likamtetea mtoto wake anaechapwa na pramis3 atatoka kama bado atoki shimoni promis4 inakuja iyo lazima itoke mana kila tem inakuwa pana kuliko iliopita mwisho atakuja tu uwanjani maumivu akiwa shimoni yatamzidi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Hakuna taifa linalopigana vita pekee yake ila kwenye vita huwa kuna taifa husika ambalo linakuwa mbele mataifa mengine yanakuwa nyuma yake lakini ushindi na kushindwa ni wa taifa ambalo liko kwenye mstari wa mbele.

Russia pamoja na ubabe wake wote hapigani peke yake ana saidiwa na Iran,Korea kasikazi ambayo imepeleka kabisa askari kwa ajili ya kupigana.
 
IRAN anatuambia lete mzungu uwanjani asijifishe kwenye kot la ISRAE anatakiwa yeye uwanjani sio kitoto chake tunataka jokaaaa kuuu
 
We jamaa ona aibu basi,umeandika nini sasa? Wakati mwingine tumia tu lugha mama yako(ki-lugha)
 
Marekani wapumbavu sana. Muirani kila anapotaka kulipiza kisasi kwa uchokozi unaofanyiwa na Israel, wanakuwa kumzuia kwa vitisho mbuzi. Lakini Israel inapotaka kuipiga iran kwa kutaka sifa za kijinga, inamsaidia. Huu unafiki wa kisenge Iran hataki kuusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…