Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

We jamaa huwa kiazi, halafu mwenyewe unajiona top notch
 
Wanafik hao, waseme wao hawatajizuia, game lao hilo wanawasukumia mashoga wenzao wa kizayuni wasiojiweza.

Mmerekani aingie yeye akapigane live, asikete unafik wake hapa.
Hakuna taifa linaiweza Israel kivita hapo mashariki ya kati. Hata wasiposaidiwa na Marekani. Kwanza tambua kwamba Wayahudi ndio wanaibeba Marekani. Hivyo Marekani inabidi tu iisaidie Israel vinginevyo Waisraeli wa Marekani wakiacha kuisaidia Marekani ndio itakuwa mwisho wa u Super power wao.
 
Iran ajiepushe na hii vita ya moja kwa moja
Hapo Israel anakusudia kumtia hasara kwa kushmbulia visima vya mafuta na lengo lao ni kushambulia vituo vya Nuke.
Vilishambuliwa visima vya mafuta,hakuna meli ya mafuta itapita hormuz,hapo tutarudi kwenye baiskeli kama walivyoahidi iran
 
Maandalizi ya promis 3 tayali kwasasa watu wanaandaa promis 4 mpya iwe tayali ikitokea Jokaaa kuu limekuja gafla bin vuu tunawaomba kina kina Himars mlaleo mzee kigogo Ti-armata msikimbie jukwaaa muzoee tu izi promiss japo zinauma
 
Kuna watu hua mnahisi uwezo wa kivita wa USA ni kama Rwanda tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
Yaan mtu anadhan US ni mafala kama hawa mafala wanao jitangaza uwezo. Us akili kubwa daima hataweka uwezo wake hadharani
 
Chawa hua wanakera kuliko boss ,asa lazima chawa aadabishwe kwanza
 
takbiiir jino kwa jino tutalipa tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ