Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Mkuu huko iran mambo yanaendaje?.US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..
Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..
US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...
Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..
Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Kwa nini Marekani yuko na Israel pengine kuliko mataifa mengine ?Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
🤣.F 35 project ilikuwa ni alliance ya nchi nyingi na Israel ilikuwa mojawapo, hakupewa bure alishiriki kuitengeneza, technology nyingi za US zinaanzia Israel, fanya research kidogo utaelewa
Uchumi wa Marekani wamiliki wakubwa ni Israel kama kwetu hapa wamiliki wakubwa wa uchumi mkubwa ni wageni mabilionea wahindi,waarabu na wapembaUS ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..
Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..
US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...
Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..
Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Umedanganywa, Finland anayo F35 ndo Israel akose?F-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa moja
Nchi kibao zimeuziwa mojawapo Israel.F-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa moja
Si kweli.Kwa nini Marekani yuko na Israel pengine kuliko mataifa mengine ?
Uongo! Acheni fiksi zenu.Marekani ndo anawategemea wayahudi kurun mambo yake mengi ..viwanda,silaha, technology nk
Ukiondoa uvumbuzi mbalimbali hasa wa teknolojia na utajiri mkubwa wa mabilionea wa Kiyahudi US inakuwaje?Uongo!
Marekani haiitegemei kwa chochote Israel.
Duh! Hizi propaganda za taifa teule la Mungu zimefanya mmekosa akili ya kuchanganua mambo, narudia tena na mm kusema hapa kuwa hakuna Israel bila Marekani, Israel anasaidiwa kila kitu, inawezekanaje ww uwe mtaalamu usitengenezee kwake uende kuundia kwa jirani kisha usaidiwe useme ni ww ulitengeza?F 35 project ilikuwa ni alliance ya nchi nyingi na Israel ilikuwa mojawapo, hakupewa bure alishiriki kuitengeneza, technology nyingi za US zinaanzia Israel, fanya research kidogo utaelewa
Hao wote ni Wayahudi?Ukiondoa uvumbuzi mbalimbali hasa wa teknojia na utajiri mkubwa wa mabilionea wa Kiyahudi US inakuwaje?
Yaani matajiri kama:
Elon Musk,
Larry Elison,
Mark Zuckerberg,
Larry Page,
Sergey Brin,
Steve Ballmer,
Michael Dell,
Michael Bloomberg,
Stephen Schwarzman,
Jeff Yass,
Nk, nk...
Nope! Mtengenezaji ni Marekani. Acheni kuwapa sifa zote Waisrael.
Hiyo nchi bila Marekani hamna kitu.
Hahahaha mbona povu jingi Mkuu?tuliwaambiwa hapa Israel ndio Mtabe was middle east.US ni malaya wa Israel..
Akiambiwa nipe blowjob anatoa, akiambiwa inama anainama..
Akiambiwa ikalie juu anakalia..
Ka Israel kadogo kanaipelekesha kubwa jinga US..
US imeolewa na baba mwenye nyumba ni Israel...
Plus US wamepata rais ambae ana low IQ na anapenda pesa kama changudoa pia ana mfungamano mkubwa katika biashara zake na tycoons wa kiyhudi hivyo akiombwa hata 'O' atatoa bila shida..
Huu ujinga Trump anafanya ni hatari kwa wamarekani waliopo middle east, ni hatari pia kwa wananchi wasio na hatia wanaoishi Israel..
Exactly!Duh! Hizi propaganda za taifa teule la Mungu zimefanya mmekosa akili ya kuchanganua mambo, narudia tena na mm kusema hapa kuwa hakuna Israel bila Marekani, Israel anasaidiwa kila kitu, inawezekanaje ww uwe mtaalamu usitengenezee kwake uende kuundia kwa jirani kisha usaidiwe useme ni ww ulitengeza?
Uongo hahahaa.Mbona baadhi za mission Israel zinazofanya marekani inapinga lakini wanaenda kibabe,marekani wanaona tu hawawezi kuzuia na kuwaacha,marekani inaihitaji Israel ila Israel haihitaji marekani kama unavyowaza.
Haujajibu swali, nimekuuliza kwa nini USA iko karibu na Israel pengine kuliko mataifa mengine?.Si kweli.
Kwanza kabisa, nchi ambayo iko karibu sana na Marekani ni Uingereza.
Uingereza na Marekani wana ‘special relationship’.
Marekani imeanzishwa na wahamiaji kutoka Uingereza.
Mpaka leo hii huko Uingereza vijiji ambavyo founding fathers wa Marekani walitokea, vipo!
George Washington ana asili ya Uingereza. Abraham Lincoln ana asili ya Uingereza. Thomas Jefferson, Benjamin Franklin, Button Gwinnett, na wengineo wengi tu, wote wana asili ya Uingereza.
Hakuna wa kuigusa Uingereza bila Marekani kuingilia.
Pia, kuna Taiwan na South Korea.
China haiwezi kuigusa Taiwan bila kuingia vitani na Marekani.
Na hakuna wa kuigusa South Korea bila kuingia vitani na Marekani.
Kwa sababu Mashariki ya kati ni eneo lenye mizozo mingi sana, ndo maana inaonekana kana kwamba Marekani yupo karibu sana na Israel.
Lakini ukweli ni kwamba, kuna sehemu zingine hapa duniani ambako huwezi kuzigusa bila kumchokoza Mmarekani ila sema tu ni sehemu zisizo na vurugu nyingi kama Mashariki ya kati hivyo zinakuwa hazisikiki sana.
Kama Israel bila Marekani hamna kitu kwanini Marekani anamng'ang'ania Israel miaka nenda rudi.Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Umaitwa mkwala bubuHarafu eti ndio irani alitaka kuivimbia marekani si kichekesho hiko