Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

Nenda taratibu usije ukamharibia bosi wako. Mwenyewe anatamani sana mwaliko wa kipekee wa Jumba Jeupe (personal state visit) lakini hana ujasiri kama wa “kichaa” Ruto. Anataka kupendwa na wote wakati wote.

Halafu usijeshangaa siku ukisikia Ruto baaadaye kapewa mwaliko kama huo Beijing. Yule ni mtu wa mikakati ya kimaslahi tu.
 
Dogo analyse vitu kama economist.Hakuna mtu atakupa mkopo Mara 3 zaidi ya Bajeti yako ya nchi uendeshe mradi.

Dont be a fool.LNG haihitaji pesa nyingi hivyo kufika dar.
Una copy copy tu vidata mtandaoni huko in real sence they are not working out.
 
Umeona mbali balaa hili tunaletewa,Uganda hawana minerals resources kama Tanzania, itakuwa Tanzania time itaongea ,wanafukuzwa huko West Africa sasa wanakuja huku kwa majuha,tizama michango ya watu humu utajuwa waafrika kazi tunayo.
 
naona kuna issue ya serikali kupromote sana tutumie Gas asa baada ya raisi kutoka kwenye mikutano ya mabadiliko ya Tabia ya nchi ivi hakuna fungu lolote serikali imepata kwa ajili ya kuhamasisha wananchi tutumie nishati mbadala
 
Dogo analyse vitu kama economist.Hakuna mtu atakupa mkopo Mara 3 zaidi ya Bajeti yako ya nchi uendeshe mradi.

Dont be a fool.LNG haihitaji pesa nyingi hivyo kufika dar.
Una copy copy tu vidata mtandaoni huko in real sence they are not working out.
Wewe ni mbumbumbu na huelewi unachoongea.

Kwa hiyo alipokuja Kamala akasema Marekani itawekesa kwenye viwanda vya Betri ilikuwa ni Mkopo?

Punguani mkubwa,huo sio Mkopo ni mradi wa kiuwekezaji na sio hela zinatolewa Kwa Tanzania kuwa na akili badala ya kukurupuka.

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1792499817639297241?t=khbCOK_iZgeSe06_AAHz8g&s=19
 
naona kuna issue ya serikali kupromote sana tutumie Gas asa baada ya raisi kutoka kwenye mikutano ya mabadiliko ya Tabia ya nchi ivi hakuna fungu lolote serikali imepata kwa ajili ya kuhamasisha wananchi tutumie nishati mbadala
Ndio kwanza juzi Samia alizindua mkakati wa matumizi ya Nishati safi.
 
Mi sijui nazungumza na kitoto cha darasa la ngapi.
Serikali ya marekani Haifanyi biashara so they will not invest in your industry.
Tegemea ni kampuni ya uwekezaji ije hapa iwekeze kwenye hiyo sekta so it’s not your 100 percent profit na ulivyo na viongozi mbumbumbu hata 10% hawatapata zaidi watagawa Tax releief.

Nakuuliza nani akupe mkopo wa Trilioni 100? Hapo hujanijibu una ruka ruka tu
 
Ni wewe ulichelewa kujua hili. Ila Nashukuru kizazi kipya kitaelewa utofauti wetu na Kenya unapotokea. Ndio maana hii nchi inahitaji mwanaume. Kikosi cha mashangazi kitatupeleka pabaya. Kila siku kuzunguka kuomba unategwa na kukamatwa kirahisi
Kuna haja ya Kujenga urafiki wa nguvu na urusi au china Ili tuheshimiane Mjini
Tatizo china ni muoga Sana
 
Narudia kukwambia wewe ni mbumbumbu na sijui unangea utumbo gani hapa.

Nani au wapi nimesema Serikali ya Marekani inawekeza? Wanaowekesa ni kampuni za Marekani usiwe popoma.

Kwamba hatupati ngapi sijui nini ni uijinga wako tuu,sheria zinazotumika ni sheria za madini za Tanzania na zinaipa advantage ya Hadi 30% ya hicho kitakachowekezwa.

Pia Kodi zitakazokuws zinalipwa hapo ni matrilioni Nchi itakuwa inavuna.
 
Huyu ni ladboy mwingine kwenye jamiiforums. Huyu Dada ni chawa mkubwa sana
 
Marekani akuache unavuna matrilioni,

Ile Twiga mineral sijui upuuzi gan wa magufuli unawapa bei gan saivi?
 
Huyu ni ladboy mwingine kwenye jamiiforums. Huyu Dada ni chawa mkubwa sana

Quote
 
Marekani akuache unavuna matrilioni,

Ile Twiga mineral sijui upuuzi gan wa magufuli unawapa bei gan saivi?
Tunapata kwenye share agreement na tunapata kwenye Kodi nk.

Sio Twiga tuu ziko nyingi tuu kama mamba nk

Sheria za madini zitakazofuatwa ni za Tanzania ,tutapata matrilioni kama tunavyopta mabilioni GGM,North Mara nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…