Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

Kama vita ikitokea Israel itaumia zaidi.
Maana itakua ni religious war kitu ambacho USA hatoweza kuingilia.
Nani kakudanganya? Waarabu wengi sasa hivi akili ishaanza kuwaingia hawataki kusikia tena ujinga wa dini,nenda Dubai,Saudia, Morocco, Tunisia,Egypt,Qatar nk. Hakuna tena huo ujinga wa kufa kwa ajili ya upumbavu wa mwingine eti kisa dini.
 
Nani kakudanganya? Waarabu wengi sasa hivi akili ishaanza kuwaingia hawataki kusikia tena ujinga wa dini,nenda Dubai,Saudia, Morocco, Tunisia,Egypt,Qatar nk. Hakuna tena huo ujinga wa kufa kwa ajili ya upumbavu wa mwingine eti kisa dini.
Mkuu jidanganye vivyo hivyo.
Hao wame hold back tu ila siku vita ikipamba itakua ni ya kidini.
Hao kukaa kimya haimaanishi kua udini haupo.
Ifuatilie vizuri middle east halafu uone.
 
Hata Norway aliyehusika na huo mchakato alizungumza hili kwa kusema tatizo litaisha kama Palestina itapewa uhuru wake.
 
Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
Mambo jombaa. Unawajua familia ya Rostchil mzee baba. Kwa taarifa yako jamaa wameshililia mifumo yote ya kiuchumi kijasusi na kimaamuzi. Na sio marekan tu karibu ulaya yote na hata russia . Wenzio hicho unachofikiria leo walishakifiria miaka mia 2 nyuma
 
Hapo ndo huwa inashangaza, wafuasi wa Myahudi wanasema ndo nchi yenye jeshi bora middle east, ajabu ukorofi wake woooote akitushwa tuu mbio kwa dingi ake America kushtaki,
 
Hizi kauli za Rostchild family ni STUPID CONSPIRACY ambazo kijana asiyeweza kufikiria out of box ndio anaweza akaziamini.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Vijana wa siku hizi AISEE kwa kumezeshwa ujinga.
 
Vilio vitaanza siku sio nyingi kuna mtu atafinywa vinyanya mshenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ