Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

Hakuna ndege wewe Russia wanatumia tu makombora ya masafa marefu ya hypersonic sonic missiles anga la Ukraine hawataki kutumia ndege mmarekani na majeshi ya NATO wamemwambia hatufungi anga liko wazi Rusha ndege zako za kivita tukuonyeshe cha mtema kuni kabaki ohh mimi narusha makombora ya masafa marefu ya hypersonic missiles propaganda kibao arushe ndege za kivita kama yeye kidume kweli kwenye anga la Ukraine.
Wanaume wamemwambia anga liko wazi rusha
unaota?tafuta mitandao ya telegram ya russia,uone video live za uwanja wa vita..
 
LIVE

19 Mar, 2022 09:05
HomeRussia & FSU
Russia fires hypersonic missiles in Ukraine
Moscow has deployed Kinzhal missiles for the first time since the start of its military operation
Russia fires hypersonic missiles in Ukraine
FILE PHOTO: MiG-31BM supersonic interceptors carrying the Kh-47M2 Kinzhal hypersonic air-launched ballistic missile. © Sputnik / Andrey Stanavov
The Russian military has said it used its state-of-the-art Kinzhal hypersonic missiles to destroy an arms depot near the city of Ivano-Frankivsk in western Ukraine.

The strike with the air-launched missile system took place on Friday, Russian Defense Ministry spokesman Igor Konashenkov said during a briefing.

It targeted “a large underground depot of missiles and aerial munitions of the Ukrainian forces” in the village of Deliatyn, he added.

Kinzhal, which means ‘dagger’ in English, was used by the Russian military for the first time since the start of the Ukrainian conflict on February 24.

Those munitions are said to be able to penetrate any existing air defenses by traveling at a whopping speed of up to Mach 10 and constantly maneuvering during their flight.

Russian military releases footage of helicopter attack on Ukrainian convoy (VIDEO)READ MORE Russian military releases footage of helicopter attack on Ukrainian convoy (VIDEO)
Kinzhal missiles are carried by MiG-31K supersonic interceptor aircraft, which NATO calls ‘Foxhound’.

The hardware is one of several hypersonic systems prepared for the country’s military in recent years, together with the Avangard glider, which is fitted on silo-based ICBMs, and Zircon (Tsirkon) missiles, developed for the navy.
 
Hakuna ndege wewe Russia wanatumia tu makombora ya masafa marefu ya hypersonic sonic missiles anga la Ukraine hawataki kutumia ndege mmarekani na majeshi ya NATO wamemwambia hatufungi anga liko wazi Rusha ndege zako za kivita tukuonyeshe cha mtema kuni kabaki ohh mimi narusha makombora ya masafa marefu ya hypersonic missiles propaganda kibao arushe ndege za kivita kama yeye kidume kweli kwenye anga la Ukraine.
Wanaume wamemwambia anga liko wazi rusha
Hamna kitu unajua, Russia anarusha drones na zinaenda kushambulia kama kawaida anga lipi liwe tishio kwa Russia? Kama hujui Russia kafanya mashambulizi mengi sana kwa ndege zake za kivita na drones, anaingia na kutoka kama kawaida
20220319_220614.jpg
20220319_220603.jpg
 
Maafisa wa kijeshi wa Marekani watoa neno kuhusu makombora ya haipasoniki ambalo Russia ameyatumia kuangamiza ngome ya kijeshi magharibi mwa Ukraine.

Maafisa hao wanasema kuwa nchi yoyote yenye makombora ya haipasoniki inakuwa na nafasi nzuri ktk mashambulizi kwa kuwa makombora haya huweza kupenya mfumo wowote ule wa kulinda anga unaotumika ktk zama za sasa.

Screenshot_20220319-215904_Chrome.jpg

Soma comments za huu uzi kuna kila kitu ongeza na ule mwingine

Kwenye huu ugomvi, hamna chochote cha kusoma na kujielmsha kwenye comments, maana wote tumejenga matimu na milengo, kila comment inategemea na upande wako unaovutia, kwanza kwa wafuasi wa dini ya amani ya muddy wote wanamsujudu Putin, huwaambii kitu.
 
Maafisa wa kijeshi wa Marekani watoa neno kuhusu makombora ya haipasoniki ambalo Russia ameyatumia kuangamiza ngome ya kijeshi magharibi mwa Ukraine.

Maafisa hao wanasema kuwa nchi yoyote yenye makombora ya haipasoniki inakuwa na nafasi nzuri ktk mashambulizi kwa kuwa makombora haya huweza kupenya mfumo wowote ule wa kulinda anga unaotumika ktk zama za sasa.

View attachment 2157279
Nato wanazidi kushangazwa😂 wakiwa na kiranja wao USA. State of art weapons ni kiboko speed zaidi ya sauti ni hatari
 
hiyo imemchanganya sana biden,mpaka anampigia magoti china awe upande wake na kumwambia mambo aliyowafanyia trump wao hawayatambui,na pia hawatambui uhuru wa taiwan..
Mtu anayepiga magoti hasemi kutakuwa na consequences kama Mchina atamsaidia Mrusi. Kwa lugha ya mitaani ni kuwa ataipata.
 
Baadhi ya mataifa ya magharibi yamekiri kuwa yamepekeka Sana silaha huko Ukraine Hadi yameishiwa silaha za kupeleka huko!! Hao ni Canada!! Walipeleka kwa mbwembe zimeishia kuharibiwa kabla ya kutumika!

Canada says it has ‘exhausted’ its stock of weapons.
Na wewe unaamini hill?
 
Back
Top Bottom