Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

Nitashukuru sana nikipata nakala kamanda. Itapendeza
 
Tatizo watu humu mawazo yao juu ya china yamejengwa kwa mtazamo jinsi wanavyoijua china kiafrika afrika,My brothers china ni tofauti kabisa sio kama tunavyoichukulia usione kila siku USA hakomi kumlalimikia china kula kukicha ni skendo kwa skendo dhidi ya china.china ni habari nyingine katika nyanja za uchumi na Technolojia.
countries by GDP (PPP)


countries by GDP (nominal)

 
Approve ratin hizo ni mawazo ya wachache ambao hata hawana mikono ndan ya Deep state kijana, elewa dunia ile inaendeshwa na wachache wacha kukariri mambo, mara ngap waona kura za maoni ziko hivi na yanatokea yale?

"Approve ratin" ni kitu gani?
What are you? An illiterate analyst?

Unaelewa kwamba unaji contradict?

1. Nakwambia haya maneno si ya Wa Marekani, ni ya Donald Trump.

2 Unaniambia maneno ya Donald Trump ni ya Wamarekani. Maana yake Donald Trump anaendesha serikali kwa ridhaa na dhamana ya Wamarekani wote.

3. Nakwambia approval ratings za Donald Trump hazioneshi kwamba anawakilisha Wamarekani wote.

4. Unaniambia serikali inaendeshwa na Deep State.

Unaelewa kwamba kauli yako hapo namba 4 kwamba serikali inaendeshwa na deep state ina contradict kauli yako namba mbili kwamba Donald Trump anaendesha serikali kwa ridhaa ya wananchi?

Unaelewa kwamba unajipinga wewe mwenyewe?
 
Suluhisho la mwisho ni kutumia Iranian option.

Yeyote atakaefanya biashara na Chinese Communist Party state anawekewa embargo ya kufanya biashara na USA.
Kiuhalisia yaaani
Vikwazo vishakua havina athari tena kama inavyotegemewa kama vikwazo vingekua na athari kama tunavyoaminishwa leo hii tusingekua na IRAN wala KOREA KASKAZINI
 
Ni kwamba US wanatapatapa. China [emoji630] wakishirikiana na Russia[emoji635], Iran [emoji1130], Syria [emoji1238], Venezuela[emoji1263] wana mikakati ya kujitoa kwenye matumizi ya dollar. Hili litakuwa ni pigo kuu kwa taifa hili kwani gold reserve ndio ilikuwa standard tangu awali mpaka pale Saudi Arabia (waarubu mburura as usual) walipoingia mkataba na US wa "PETROL DOLLAR" na kuiondoa gold.

Kumbuka kifo cha Saddam chanzo ni hiki, kama ilivyo kwa Syria na Iran.
 
MKUU hizo pdf kama unavyonipatie namimi if inawezekanika
 
Wewe ndio kilaza huelew maana yeyote unajua Aproval rating wanapataje ama unaropoka tu hapa kama mtu anaita msaragambo kesho???
 
Wewe ndio kilaza huelew maana yeyote unajua Aproval rating wanapataje ama unaropoka tu hapa kama mtu anaita msaragambo kesho???

Wewe ngumbaru unajua tofauti ya "yeyote" na "yoyote"?

Serikali inaendeshwa na deep state au inaendeshwa na wananchi?

Mbona unajipinga mwenyewe?

Mbona unakimbia kujibu hili?
 
Wewe ngumbaru unajua tofauti ya "yeyote" na "yoyote"?

Serikali inaendeshwa na deep state au inaendeshwa na wananchi?

Mbona unajipinga mwenyewe?

Mbona unakimbia kujibu hili?
Wananchi wanaendeshaje serikal pale kweli umepofuka macho wewe sio bure
 
Wananchi wanaendeshaje serikal pale kweli umepofuka macho wewe sio bure
Kwa hiyo kama unakubali kwamba wananchi hawaendeshi serikali, basi unakubaliana nami kwamba maamuzi haya hayana backing ya wananchi?

Unaelewa kwamba huwezi kusema wananchi hawaendeshi serikali, halafu hapo hapo ukasema maoni haya ya serikali ni ya wananchi?

Unaelewa kwamba unaji contradict hapo?
 
 
Wakati huu wa njaa,tajiri ni yule mwenye mahindi gharani
 
Msijifanye wajuaji kuliko CIA na Vyombo vingine vya Marekani
 
Unaanzaje kumchinja mtu mwenye Android, IOS, ATM software, Facebook, Instagram, Twitter, YouTube, Pinterest, Chanjo za binadamu na mifugo, Whasspu, Wikipedia, Coca-Cola, 4G-System na Bank system software dunia nzima. Mchina anaelewa Threats za USA ndio maana anashindwa kusema naacha Fanya bihashara na USA ambae ndio soko kubwa duniani kuliko masoko
 
Mmarekani uchumi wake upo hivi due to dollarization,naona Trump alijui hili mkuu!! Iwapo mfano Asia,Africa yote na ulaya wakawa wananunua na kuuza bidhaa with China in Yuan ,bila SWIFT kuwepo katikati .......asubuthuuu....
Yani ukute unaishi maramba mawili kwa shemeji yako unajifanya unajua kuliko serikali ya Marekani....


Subiri uone mchezo unavyoenda. Huyo sio Barack Obama kupigana mavita ,Trump ni mzee Wa Vita vya uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…